Tupiganie Katiba Mpya ili kuondoa haya mauza uza ya TEC

Mikataba mingapi mibovu nchii hatukuwahi kusikia baraza limetoa tamko!
Ubovu wako wa kufuatilia historia ya TEC na uwekezaji usitufanye wote tuonekane wabovu,nenda kafuatilie matamko ya kanisa wakati wa ubinafsishaji wa mashirika ya umma.Mbona kanisa lilipoongea kuhusu siasa kwenye waraka wa pasaka hamkuleta story nyingi mlifurahi kwa kuwa JPM alikuwa mkatoliki?
 
Ni maoni kama walivyo toa Tec ila kama ni udini basi Tec ni namba moja masheikh walikaa gerezani hatukusikia Tec leo kukaa mseminar mmoja mahabusu Tec wamekuja tuwakemee na pepo la udini!
Yaani mashehe wapo ndani waislamu mpo kimya mnataka mkatoliki awapigie kelele???nyie kazi kuvaa kobazi tu si ujinga huo
 
Ubovu wako wa kufuatilia historia ya TEC na uwekezaji usitufanye wote tuonekane wabovu,nenda kafuatilie matamko ya kanisa wakati wa ubinafsishaji wa mashirika ya umma.Mbona kanisa lilipoongea kuhusu siasa kwenye waraka wa pasaka hamkuleta story nyingi mlifurahi kwa kuwa JPM alikuwa mkatoliki?
Haya ni maoni yangu nawe toa ya kwako wacha hasira una vidonda vya tumbo kunywa pilipili vitatulia!
 
Ni maoni kama walivyo toa Tec ila kama ni udini basi Tec ni namba moja masheikh walikaa gerezani hatukusikia Tec leo kukaa mseminar mmoja mahabusu Tec wamekuja tuwakemee na pepo la udini!
Ss mbona apo ht mm la saba nakusaidia uelewe. Ni sawa na kusema mwanachama wa chama cha wacheza soka akatetewe na chama cha wacheza dansi. Si ni jukum la chama chake kumsemezea.
 
Tatizo la tamko la TEC ni nini hasa?

Kwa vile ni maaskofu wa kikatoliki? Mbona pointi zao ziko wazi na zinaeleweka?

Na kuna ugumu gani kubadili vipengele vinavyopigiwa makelele na wananchi na mkataba ukaendelea?
Sema ziko wazi kwako uelewa hauko uniform. Wewe unaona ziko sawa ila wengine tunaona haziko sawa
 
Tatizo la tamko la TEC ni nini hasa?

Kwa vile ni maaskofu wa kikatoliki? Mbona pointi zao ziko wazi na zinaeleweka?

Na kuna ugumu gani kubadili vipengele vinavyopigiwa makelele na wananchi na mkataba ukaendelea?
Méksibukuu
 
Wale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama,ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.

Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.

Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba

VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
Mungu ni mkubwa sana ! hata wewe unataka Katiba mpya !
 
Wale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama,ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.

Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.

Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba

VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
TEC inafikiri kuwa yenyewe ndio itaunda Katiba mpya?
 
Wale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama,ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.

Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.

Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba

VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
Mtahangaika sana na mkataba huu wa Kimangungo kuuhalalisha, hivi kwa mfano Ibara 4 (2) inayosema iwapo Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi, hapa Kuna Cha kuunga mkono upuuzi kama huu? Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai, Tena kwa Mali zake? Kingine kinacholeta kichefuchefu eti bandari za Zanzibar zisiwemo, za Tanganyika tu ndizo apewe Mwarabu? Huu ujinga ubaki CCM na Dubai.
 
Tatizo la tamko la TEC ni nini hasa?

Kwa vile ni maaskofu wa kikatoliki? Mbona pointi zao ziko wazi na zinaeleweka?

Na kuna ugumu gani kubadili vipengele vinavyopigiwa makelele na wananchi na mkataba ukaendelea?
Makanisa mengine yakialikwa ikulu TEC wananuna; Mchungaji lusekelo mzee wa upako
 
Wale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama,ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.

Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.

Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba

VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
Serikali haina dini.
 
Back
Top Bottom