kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #81
Masihara hayo!Hivi wewe bado ni "kipara kipya cha zamani"?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masihara hayo!Hivi wewe bado ni "kipara kipya cha zamani"?
Unamjua kila mmoja undani wa hao maskofu wanamiliki nini au nawe ni askofu !Sasa we unavosema mauzauza una akili kweli? Mauzauza ya mkataba wa bandari hujayaona kwani? Wewe ndio umeleta makasiriko yasio na mantiki, we unadhani ata hiyo katiba mpya ikija ndio nini? Kisanaa ya kodi wanafaidi wanasiasa kwa taarifa yako, hao maaskofu wana nini la maana? Maghorofa na mabiashara? Embu kuwa serious.
Unataka kusema wewe au hao Masheikh ubwabwa ndio wanajua? Mmekalia vijembe na kejeli hoja hamna. Mna aibishaUnamjua kila mmoja undani wa hao maskofu wanamiliki nini au nawe ni askofu !
Kudai katiba mpya sio shughuli ndogo kwa watanzania hawa wanaowaza simba na yangaWale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama, ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
Sasa upiganie nini? Huo ujinga, Samia alishatangaza kuunda katiba mpya au hujawahi kusikia? Kaunda mpaka tume ya maridhiano na moja ya hoja ya hiyo tume ni katiba mpya, hulielewi hilo?Wale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama, ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
Hao TEC ndio wako front line kwenye hilo sasaWale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama, ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
Ujinga mtupu umeandikaWale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama, ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
Kutoa maoni sawa, wapi hao TEC walipewa kazi ya kushawishi watu kukubali au kukataa mkataba!We ndio unaleta udini kwenye vitu vya msingi
Ni wapi TEC wameongoza nchi?
Uwezo mdogo wa kufikiri utaendelea kuwafanya muwe maskini
Umeandika rubbish
Kwani TEC wamekulazimisha ukubali au ukatae mkataba?Kutoa maoni sawa, wapi hao TEC walipewa kazi ya kushawishi watu kukubali au kukataa mkataba!