kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kwa sanduku la kura ambazo mnazilinda nyinyi wenyewe siyo! Kwa sanduku la kura huku Mwenyekiti na wasaidizi wa tume yote ya uchaguzi wakiteuliwa na mwenyekiti wenu wa chama siyo!!CCM wanaweza kuondoka kwa sanduku la kura
Hivi wewe bado ni "kipara kipya cha zamani"?Wale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama,ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
... Mwenyekiti ambaye naye kura zake zimo humo humo ndani ya sanduku! Masanduku ambayo wasimamizi ni makada wateuliwa wa Mwenyekiti! Huo ni uchaguzi au kiinimacho?Kwa sanduku la kura ambazo mnazilinda nyinyi wenyewe siyo! Kwa sanduku la kura huku Mwenyekiti na wasaidizi wa tume yote ya uchaguzi wakiteuliwa na mwenyekiti wenu wa chama siyo!!
Ok. Nimekuelewa.
Kama nguvu inayotumika kutaka kubadili katiba vyivo hivyo ikitumika kwenye sanduku la kura hakuna jinsi itaondoka ila kura hazipigwi za kutosha tuachane na propaganda fikirishi!Kwa sanduku la kura ambazo mnazilinda nyinyi wenyewe siyo! Kwa sanduku la kura huku Mwenyekiti na wasaidizi wa tume yote ya uchaguzi wakiteuliwa na mwenyekiti wenu wa chama siyo!!
Ok. Nimekuelewa.
Utawasikia iwapo maslahi yao yameguswa ila kama hayajaguswa hutowasikia!Tatizo la tamko la TEC ni nini hasa?
Kwa vile ni maaskofu wa kikatoliki? Mbona pointi zao ziko wazi na zinaeleweka?
Nasubiri tamko la akina Sheikh Kipozeo nao tuone litasemaje; na kama litaandamwa kama la hawa maaskofu.
Halafu wafuatie KKKT, SDA, Anglican, TAG, Umoja wa Mitume na Manabii Tanzania, Kakobe, Mwingira, Mzee wa Upako, Geo Davie, Mwamposa, Mwakasege na wengineo.....
Udini! Tunacheza na moto wa ajabu ambao tukiuachia hakuna atakayeweza kuuzima huko mbele ya safari!
Wamempangia nani labda? Wametoa maoni yao. Bandari mkitaka endeleeni ila wameshatoa maoni yao. Hawajamlazimisha mtu kuyafuata. We vipi wewe!Wale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama,ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
We ndio unaleta udini kwenye vitu vya msingiWale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama,ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
Mbona unaleta makasiriko nawe tuwa maoni yako kama wale wametoa yao!Wamempangia nani labda? Wametoa maoni yao. Bandari mkitaka endeleeni ila wameshatoa maoni yao. Hawajamlazimisha mtu kuyafuata. We vipi wewe!
Ni maoni kama walivyo toa Tec ila kama ni udini basi Tec ni namba moja masheikh walikaa gerezani hatukusikia Tec leo kukaa mseminar mmoja mahabusu Tec wamekuja tuwakemee na pepo la udini!We ndio unaleta udini kwenye vitu vya msingi
Ni wapi TEC wameongoza nchi?
Uwezo mdogo wa kufikiri utaendelea kuwafanya muwe maskini
Umeandika rubbish
Wale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama,ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
Sasa we unavosema mauzauza una akili kweli? Mauzauza ya mkataba wa bandari hujayaona kwani? Wewe ndio umeleta makasiriko yasio na mantiki, we unadhani ata hiyo katiba mpya ikija ndio nini? Kisanaa ya kodi wanafaidi wanasiasa kwa taarifa yako, hao maaskofu wana nini la maana? Maghorofa na mabiashara? Embu kuwa serious.Mbona unaleta makasiriko nawe tuwa maoni yako kama wale wametoa yao!
Mmepigwa kweny mshono na bado!!Wale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama,ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
Kipara ashapoteza ubongo wake tang enz ya jiwe na haijulikan ubongo wake ulitupiwa wap.Sasa we unavosema mauzauza una akili kweli? Mauzauza ya mkataba wa bandari hujayaona kwani? Wewe ndio umeleta makasiriko yasio na mantiki, we unadhani ata hiyo katiba mpya ikija ndio nini? Kisanaa ya kodi wanafaidi wanasiasa kwa taarifa yako, hao maaskofu wana nini la maana? Maghorofa na mabiashara? Embu kuwa serious.
Hakuna jipya kila kitu kitakwenda kama kilivyopangwa nipo palee napata kahawa!Mmepigwa kweny mshono na bado!!