Tatizo la tamko la TEC ni nini hasa?
Kwa vile ni maaskofu wa kikatoliki? Mbona pointi zao ziko wazi na zinaeleweka?
Na kuna ugumu gani kubadili vipengele vinavyopigiwa makelele na wananchi na mkataba ukaendelea?
Mkuu ulitaka TEC wawe wanasiasa?!Ni maoni kama walivyo toa Tec ila kama ni udini basi Tec ni namba moja masheikh walikaa gerezani hatukusikia Tec leo kukaa mseminar mmoja mahabusu Tec wamekuja tuwakemee na pepo la udini!
TEC wamepiga kwenye MSHONO Mbichi ,Madalali wanaibuka kilo KONA.Wale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama,ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
Badilisheni vipengele vya mkataba vinavyolalamikiwa na wananchi halafu uwekezaji uendelee. Tatizo liko wapi? Najua mnalipwa ndiyo lakini ifike mahali hata hao wanaowalipa watambue kwamba huu mkataba una matatizo na ni lazima kuwasikiliza wananchi wenu.Utawasikia iwapo maslahi yao yameguswa ila kama hayajaguswa hutowasikia!
Hapa ndipo unadhihirisha kua CCM haijawah kua na nia njema kwa maslah mapana ya Taifa!!Hakuna jipya kila kitu kitakwenda kama kilivyopangwa nipo palee napata kahawa!
Hongera sana kipara kipya umekuwa huru kutoa maoni yako. Tuko wengi tuliokataa kuwa nyumbuWale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama,ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
Mikataba mingapi mibovu nchii hatukuwahi kusikia baraza limetoa tamko!Kwani wao TEC wanataka kubadili vipengele?wao wako so openly hawataki mwarabu...
Ingekuwa vipengele wasingetoa tamko baada ya hukumu ya mahakama...
Hukumu ya mahakama iko so openly kuwa kasoro zote ndogo zinarekebishika Kwa mkataba mahususi... HGA...na sio IGA
Maaskofu wanakuja na waraka wa kupinga IGA tena baada ya hukumu
Udini mnaueneza sana.., hamuangalii kilichozungumzwa bali mnaangalia kimezungumzwa na nani. Kwani hao TEC na BAKWATA siyo wananchi, hawaruhusiwi kutoa maoni yao. Kila mnapozidiwa hoja manaibuka na hoja za Udini, ujinga tu.Wale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama,ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
Ndio wameanza kutoa tuliaMikataba mingapi mibovu nchii hatukuwahi kusikia baraza limetoa tamko!
Leo unamkana kipara kipya? Leo yeye kawa dalali?TEC wamepiga kwenye MSHONO Mbichi ,Madalali wanaibuka kilo KONA.
Ndio shida Yao hao hao wanasahau Muislamu ndie anajenga reli ndie anajenga bwawa tenda kapewa na Mkristo,wakizidiwa hoja wanakimbilia kwenye diniUdini mnaueneza sana.., hamuangalii kilichozungumzwa bali mnaangalia kimezungumzwa na nani. Kwani hao TEC na BAKWATA siyo wananchi, hawaruhusiwi kutoa maoni yao. Kila mnapozidiwa hoja manaibuka na hoja za Udini, ujinga tu.
Aliyewawekea jela ni Muislamu mwenzao.Ni maoni kama walivyo toa Tec ila kama ni udini basi Tec ni namba moja masheikh walikaa gerezani hatukusikia Tec leo kukaa mseminar mmoja mahabusu Tec wamekuja tuwakemee na pepo la udini!
kweli, kama mambo yanaenda vizuru, huwezi kusikia Vyombo vya dini vikiingilia.Wale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama,ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
Mbona Nchi hii waarabu na waislamu ndio wameshika uchumi ikiwemo viwanda,Pana Mkristo gani anamiliki kiwanda nchini.Kwani wao TEC wanataka kubadili vipengele?wao wako so openly hawataki mwarabu...
Ingekuwa vipengele wasingetoa tamko baada ya hukumu ya mahakama...
Hukumu ya mahakama iko so openly kuwa kasoro zote ndogo zinarekebishika Kwa mkataba mahususi... HGA...na sio IGA
Maaskofu wanakuja na waraka wa kupinga IGA tena baada ya hukumu
Mim nahisi shule nayo inasaidia pakubwa sana.., maana kama una shule kichwani kila kitu uonacho nakukisikia lazima ujiulize, siyo kutiwa sumu tu bila kujiuliza. Wengi wao niwajinga sana. Mtawala hana hasara, siku pakichafuka yey na familia na walinzi wake chap na haraka wanasepa uhamishoni.Ndio shida Yao hao hao wanasahau Muislamu ndie anajenga reli ndie anajenga bwawa tenda kapewa na Mkristo,wakizidiwa hoja wanakimbilia kwenye dini
Sisi wananchi tunaamini na tunajua contents za waraka wa TEC against IGA ni kweli, kweli tupu. Tangu lini kupinga mkataba wa hovyo iwe udini?Wale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama,ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.