Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Katiba mpya ni sasaWale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama,ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
UhainiiiiiMakanisa mengine yakialikwa ikulu TEC wananuna; Mchungaji lusekelo mzee wa upako
Hii imethibitika
Kirahisi tu nipoteze muda wangu kupiga kura, huku mshindi akiwa anajulikana! Hauko serious hata kidogo.Wewe huwa unapiga kura ukiwa umesimamiwa na bunduki mgongoni?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Embu yataje hayo maslahi yao yaliyoguswaUtawasikia iwapo maslahi yao yameguswa ila kama hayajaguswa hutowasikia!
Wale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama,ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
Sawa ukisusa wenzio wala.Kirahisi tu nipoteze muda wangu kupiga kura, huku mshindi akiwa anajulikana! Hauko serious hata kidogo.
Nitarudi kupiga kura pale tu mtakapoifumua hiyo tume yenu mbovu ya uchaguzi.
Kupinga Mkataba wa Bandari ni Mauzauza na Udini ila Kuunga Mkono Bandari SIO UDINI ni UjingaWale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama,ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
Dawa ni katiba!Embu yataje hayo maslahi yao yaliyoguswa
Bila katiba mpya ni ndoto ya kunyea kitandani kuiondoa ccm madarakaniCCM wanaweza kuondoka kwa sanduku la kura
Kwa manufaa ya wengi sio binafsi kama yako ya kutaka tu kulala ikulu!Mungu ni mkubwa sana ! hata wewe unataka Katiba mpya !
Siyo kweli CCM hawawezi kuondoka Kwa sanduku la kura.CCM wanaweza kuondoka kwa sanduku la kura
Ukweli ndio Huo kutegemea CCM wataondoka Kwa sanduku la kula huku ndio wenye maamuzi yote ya nani atangaze ushindi, nikujidanganya.Kwa sanduku la kura ambazo mnazilinda nyinyi wenyewe siyo! Kwa sanduku la kura huku Mwenyekiti na wasaidizi wa tume yote ya uchaguzi wakiteuliwa na mwenyekiti wenu wa chama siyo!!
Ok. Nimekuelewa.
Akili zimerudi siyo yule mfia chamaHivi wewe bado ni "kipara kipya cha zamani"?
Uchaguzi wa Tanzania ni kupoteza muda tu CCM ni wezi hawapo tayari kuruhusu uchaguzi wa haki labda Kwa karamu ya damu... Mwenyekiti ambaye naye kura zake zimo humo humo ndani ya sanduku! Masanduku ambayo wasimamizi ni makada wateuliwa wa Mwenyekiti! Huo ni uchaguzi au kiinimacho?
Siyo kweli kura zinapigwa na mnatangaza mnaowataka wenyeweKama nguvu inayotumika kutaka kubadili katiba vyivo hivyo ikitumika kwenye sanduku la kura hakuna jinsi itaondoka ila kura hazipigwi za kutosha tuachane na propaganda fikirishi!