Tupiganie Katiba Mpya ili kuondoa haya mauza uza ya TEC

Unamjua kila mmoja undani wa hao maskofu wanamiliki nini au nawe ni askofu !
 
Unamjua kila mmoja undani wa hao maskofu wanamiliki nini au nawe ni askofu !
Unataka kusema wewe au hao Masheikh ubwabwa ndio wanajua? Mmekalia vijembe na kejeli hoja hamna. Mna aibisha
 
Kudai katiba mpya sio shughuli ndogo kwa watanzania hawa wanaowaza simba na yanga
 
Sasa upiganie nini? Huo ujinga, Samia alishatangaza kuunda katiba mpya au hujawahi kusikia? Kaunda mpaka tume ya maridhiano na moja ya hoja ya hiyo tume ni katiba mpya, hulielewi hilo?


Hivi huwa mmelala na mnakurupuka tu na kujisemea hovyo bila kujuwa yaliyopo wakati mmelala?

Nashindwa hata kuwaelewa watu kama wewe. Jionee msimamo wa Sania kuhusu katiba mpya:


View: https://youtu.be/_FvGKB3kvb8
 
Katiba mpya sawa.

Kuiondoa CCM madarakani siyo lelemama mimi sina chama.

CCM ina mzizi mkubwa labda kuweka idadi kubwa ya wabunge wa upinzani ili wakachuane huko mjengoni kama na wenyewe hawatakuwa wepesi wakanunulika.

TEC wameongozwa na Mungu mwenyewe, na ujue mpaka kufikia TEC kutoa waraka ni lazima walijaribu kwa mazungumzo ikashindikana.

TEC, Mungu awabariki sana.
 
Hao TEC ndio wako front line kwenye hilo sasa
 
Ujinga mtupu umeandika
 
We ndio unaleta udini kwenye vitu vya msingi

Ni wapi TEC wameongoza nchi?

Uwezo mdogo wa kufikiri utaendelea kuwafanya muwe maskini

Umeandika rubbish
Kutoa maoni sawa, wapi hao TEC walipewa kazi ya kushawishi watu kukubali au kukataa mkataba!
 
Kutoa maoni sawa, wapi hao TEC walipewa kazi ya kushawishi watu kukubali au kukataa mkataba!
Kwani TEC wamekulazimisha ukubali au ukatae mkataba?

Nimekujibu basi tu lakini swali lako la kijingašŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…