πNamba ni ileile sijabadili kiongozi
Kipi kikushangazachoπππ
π€π€π€Kipi kikushangazachoππ
Haya usiku mwemaπ€π€π€
Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua.
Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini.
Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo atakaye shinda.
Twende kaziβ¦..
ππππππ
Wewe hebu njoo hapa,ujue unaniweka dilemmaHaya usiku mwema
πππ nimecheka kwa sauti kmmk kila Mtu kanigeukia πππFaizafoxy ni limama flani hivi la makamo late 50s na lina mashauzi sana.
Rangi ya chocolate
Lirefu
Linene na lina mishavu.
Shikamoo mama faiza.
Hawa wengine huwa ni mazezeta ndio maana nakuambiaga wapotezee tuπ makubwa Charlie umenikubali?! Kweli wagombanao ndio wapatanao!!
Ahsante maua nimeyanusa bro π
ππππTuachane na hayo maisha yaendeleeeWapi tena huko bro nimemjibu vibaya?
Mm nimekupa tu tahadhali maana huyu mm namjua vizuri sana
Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua.
Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini.
Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo atakaye shinda.
Twende kaziβ¦..
ππππππ
πππ
Wait wait, Who hurts you hahahha.Fake sana huyo, kuwa makini. Mjini hapa