Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Uzi ufungwe
 
Kwa profile picture hizi hizi za ku download? Ukiwaona live sio walivyo kwenye profile picture zao
 
Nakuchukuliaga poa ujue?
Achana na huyo chakula ya wana.
Huyu jamaa utakuwa ulimpiga na nyundo nzito utosini akili zimeruka.
Pinkman? Jesse pinkman? Breaking bad? Hivi unajua Jesse pink man ni bisexual? Ni Kama wale watu waliokua wanajiita scofield baada ya kuangalia movie ya prison break, baadae wakaja kugundua Scofield yupo vipi. Ww tena umerudia Hilo kosa baada ya kuangalia breaking bad

Anyway, tuseme hujatoa huko hilo jina. Lakini naomba nikusahihishe hapa kama bro wako, katika namna yoyote hupaswi kujiita pinkman, wenzetu majina huwa na maana yao ambayo unaweza usiijue
Pink kwanza ni common street slang kwa nchi nyingi tu maana yake ni vagina, ni sawa hapo umejiita "vaginaman"

Huenda hukujua hilo, Kuna siku niliona mtu amevaa tshirt imeandikaa Good As You, bila kujua good as you ni kirefu Cha Gay. Yes, Gay ni kifupi cha maneno "Good As You". Sikushangaa sababu huenda hakua anajua hilo.

Leo nimeona hili jina lako nilikua sijawahi kuliona humu, but ningekushauri mapema tu ubadilishe

 

Attachments

  • Screenshot_20231218-123028_1.jpg
    19.3 KB · Views: 12
Mbona maelezo mengi? Umepanic?
Alafu comments rudia tena kusoma, ni saa mbili na saa nne, au huo ni usiku wa manane? Alafu ni mwalimu kabisa, na serikali imekuajiri Ila ni tahira kabisa
You appear to be intellectually deficient. You seem to be cognitively impaired.
Stupid chippie
 
Say again, you got to stop mumblingπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…