Mwanao nampenda sana!Mimi napenda unavyompenda mwanangu, paka namuonea wivu sometimes.
Kwa hiyo chaka la selfika ndio lishafyekwa?? Chimbo jipya ni wapi? Au siku hiZi ni popote kambi
Kulikuwa na vita?? Hahaha Ila sidhani kwamba mrembo wetu BL ni mtabe nayeye. Inabidi umchokoze one day🤣🤣🤣🤣.Ungekuepo siku hizi 2 ungemjua mbabe wa vita aliyejificha😂
Mmh kumchokoza siwezi, mimi muoga wa vitaKulikuwa na vita?? Hahaha Ila sidhani kwamba mrembo wetu BL ni mtabe nayeye. Inabidi umchokoze one day🤣🤣🤣🤣.
Aisee haya mambo ya ugomvi Yana Zama zake.Mmh kumchokoza siwezi, mimi muoga wa vita
Siku hizi 2 mimi na BL tulikua ndugu watazamaji tu
Kumbe uliopoa pisi humu kwa vita!Aisee haya mambo ya ugomvi Yana Zama zake.
Way back kabla hujazaliwa humu kulikuwa na vita haswaa.🤣🤣
Kuna vita ilikuwa ya team kiba Vs team diamond. ephen_ ulikuwa kwenu huko kjjn unakula furu
Ile vita ilifanya tukapata wachumba.
Bantu Lady unakumbuka hizo Zama au ulikuwa bado? Upo kule kwenye Uzi WA warembo wadunia
Sijui vita vya sikuhizi vinafaida gani huku jf??
😂😂😂😂😂Kumbe uliopoa pisi humu kwa vita!
Vita vya sasa hivi ni vya kudhalilishana tu
Siku nikiwa na vita nitakupa password yangu uje unitetea mkwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa huyo mie nilimtoa knock out tena alikua na kundi la kum support, hukuwepoo hiviii?Ungekuepo siku hizi 2 ungemjua mbabe wa vita aliyejificha[emoji23]
Mkwe nikikupa password usiingie pm kuna siri zangu na mtoto wako😂😂😂😂😂
Ukinipa password sitazimia kweli?? Maana nyinyi GenZ watanzania mambo yenu ni Moto saana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiasili hatupo kinyonge, hata waliozaliwa nje. Wastaarabu ila usimguse [emoji4]
Kwema lakini, Chino hajambo lakini.
Yes, you deserveNipewe medali na tuzoo!! Na vita zote nilishindaaa!!
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Inabidi Max Melo, akupe recognition medal, mbabe wa vita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa huyo mie nilimtoa knock out tena alikua na kundi la kum support, hukuwepoo hiviii?
Na ilikua ndani ya selfika, hanisahau kabisaaa.
Hebu tulia mkweLini hiyo? Usinifanye nikamuita aje mtuchangamshe🤸😂
Mwaka juzi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lini hiyo? Usinifanye nikamuita aje mtuchangamshe[emoji1732][emoji23]
Basi kama hadi poll iliwekwa upewe tunzoMwaka juzi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waulize saint Anne na heaven sent, au mahondaw, zilirushwaa hoja toka Utamaduni, Asili, sayansi akaja kujichanganya kwenye Dini ndo nilim maliza kabisaaa.
Huna habari iliwekwa poll ya mie kuondolewa mazima JF, kura zilipigwa ikawa sawa sawa, nkaondolewa kwa muda baadae nkarudishwaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naenda kuchukua Tuzo ya jukwaa la Celebrity kutoka kwenye Ban wee huogopiiii?
Nimeshavuka level hizooo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiwoooooo!!!!!Yes, you deserve
Sio Tu vita, ni vita ngumu saana
@Maxence Melo hebu soma hapaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inabidi Max Melo, akupe recognition medal, mbabe wa vita
Hiyo pp inavutia@Maxence Melo hebu soma hapaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
U platinum member nastahili, na blue tick kabisa.Basi kama hadi poll iliwekwa upewe tunzo
Watu mnaweza mitifuano Aisee[emoji23][emoji1732]
Wakupe uplatinum memba