Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua.

Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini.

Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo atakaye shinda.

Twende kazi…..
👇👇👇👇👇👇
cocastic
 
Wewe ni mental case Mkuu ngoja niku ignore tu na utaishia hivyo hivyo life yako yote kuwa kanjanja tu 😂😁😁
Huwezi kuishi mjini namna navyoishi Mimi kama sio mental
Mm kweli life yangu sio kivile, ila ni mjanja na Tapeli haswaa, nakula kilaini hasa nikiotea wazembezembe nawapiga kinoma. Nitakupa account yangu ya insta uone navyowavua kilaini tu
 
Mental case wewe 😂😁 sikujibu Tena kuanzia Leo nakusweka ignore list
Bro wala usiniweke ignore list, wanaopenda hizi battle humu tupo wachache ww ukiwemo, sasa ntakua nakosa cha kufanya huku.

Na kitu siwezi ni kumprovoke mtu ili tupambane, Kuna siku nilijaribu kwa mmoja akanipotezea.
 
Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua.

Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini.

Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo atakaye shinda.

Twende kazi…..
👇👇👇👇👇👇

Kumtambua mrembo kupitia ID fake ni kama kutwanga maji kwenye kinu
 
Back
Top Bottom