The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,019
- 2,670
,
Sawa acha niisikilizie
Unatumia iPhone?Sawa acha niisikilizie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa acha niisikilizie
Unatumia iPhone?Sawa acha niisikilizie
Hapana! Pixel,
Unatumia iPhone?
Hapana! Pixel,
Unatumia iPhone?
Hainaga line mbili kwani?Hapana! Pixel
Weh mbona imenipita hiyo 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu kimewalambaaaaaaa!!
Majiranii hukuu, Una habarii kifutu kakimbiaa uzi wa vochaaa??
Nyieee leo mbona burudaniiii sanaa, aaah wee.
Igweeeeeee mzee wa upako 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee was Upakoo, hana Hiyanaaaa.
Adumuu sana JF.
Babe... hujawahi kunisahau. Katika wabebe niliowahi kuwa nao wewe tu ndio upo loyal naamini tutazeeka pamoja au unanaje mpenzi
Hakuna na haitotokea asilaniBabe... hujawahi kunisahau. Katika wabebe niliowahi kuwa nao wewe tu ndio upo loyal naamini tutazeeka pamoja au unanaje mpenzi
Sijui! Ila hii haina line mbiliHainaga line mbili kwani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu nipe in4 kwani? Hakuna jipyaa huku nyumaa?Weh mbona imenipita hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sa kwanini kakimbia na wakati yy ndo matonya beggars konki
Woyoooooooo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Igweeeeeee mzee wa upako [emoji23][emoji23][emoji23]
Bana bana mzee wa upako shindikanaa kifutu bin kipipa hana raha uko 🤣🤣🤣Woyoooooooo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapya ni meengiiiii uduguu 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu nipe in4 kwani? Hakuna jipyaa huku nyumaa?
Nisanue, kabla sijakiwakishaaaa. Woiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaa!!!!Bana bana mzee wa upako shindikanaa kifutu bin kipipa hana raha uko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nakugawa bureee.Mapya ni meengiiiii uduguu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kifutu bin kipipa bin kibonge amepandisha puresha kadondoka hakuna aliyemdaka kilo 120 famchezo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee wa upako bado hana dalili y’a kurudiiii
Narudi kulala udugu, nilipita kuwachungulia kidogo [emoji23][emoji23]
Usinigawe bana 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nakugawa bureee.
😂😂😂 kifutu bin kipipa bin simtank[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaa!!!!