Tupige kura, timu ipi ina washabiki wengi kati ya SIMBA na YANGA!

Hiyo timu inayojiita ya wananchi we ione hivyohivyo.
Ina Ntiti wa washabiki.
watu wengine sijui walienda shule kusomea Ujinga.

Yaani unajua kabisa timu yako imejengwa na wapemba...halafu nyingine ni ya WANANCHI.

Na bado unataka kuleta marumbano..

Rage hakukosea kwa kweli.
 
yanga ni timu ya wanawake
utaona walivyowengi
Juzi nilimnunulia zawadi ya Khanga Bibi mzaa baba!

Ilikuwa imeandikwa maneno kama hayo uliyo yaandika..
 
Yanga timu ya wananchi na wananchi Tanzania ni milion 60 basi mgawo uko hivi simba wana 20 milion yanga 40
 
watu wengine sijui walienda shule kusomea Ujinga.

Yaani unajua kabisa timu yako imejengwa na wapemba...halafu nyingine ni ya WANANCHI.

Na bado unataka kuleta marumbano..

Rage hakukosea kwa kweli.
Kwani Mpemba sio Mtu.
 
Mashabiki wengi wa Yanga ni vilaza wa kutupwa na wamejaa hofu mioyoni mwao.

Umeambiwa wewe ni SIMBA au YANGA??? Sasa fuatilia walio haribu kula zao mpaka sasa ni wangapi ndo utajua Kweli Vyura ufahari wao ni kelele tu wakiwa huko Madimbwini.
 
Yanga ndio inauhakika na mashabiki wake...bank ya posta walitoa kadi ya bank ya Yanga..watu zaidi ya milioni nane walichukua..mikia toeni evidence yenu msituletee porojo za Manara
 
Hata ccm huitwa chama cha wananchi.


Hata mtoto wa darasa la pili anajua kirefu cha CCM.

Ukimdanganya kuwa Mapinduzi ninsawa na Wananchi atakucheka ...[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…