demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Ndio maana Rage aliwaitaga MBUMBUMBU.Wew kula inapigagwa hvyo acha umatopeni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana Rage aliwaitaga MBUMBUMBU.Wew kula inapigagwa hvyo acha umatopeni
watu wengine sijui walienda shule kusomea Ujinga.Hiyo timu inayojiita ya wananchi we ione hivyohivyo.
Ina Ntiti wa washabiki.
Juzi nilimnunulia zawadi ya Khanga Bibi mzaa baba!yanga ni timu ya wanawake
utaona walivyowengi
Hiyo ndiyo KURA yako?yanga ni timu ya wanawake
utaona walivyowengi
Hata ccm huitwa chama cha wananchi.unadhani inavyoitwa timu ya wananchi wana maana gani, hao simba watasubiri sana
Kwani Mpemba sio Mtu.watu wengine sijui walienda shule kusomea Ujinga.
Yaani unajua kabisa timu yako imejengwa na wapemba...halafu nyingine ni ya WANANCHI.
Na bado unataka kuleta marumbano..
Rage hakukosea kwa kweli.
Usiifananishe yanga na vitu vya kijingaHata ccm huitwa chama cha wananchi.
LipuliTUPIGE KURA. NI TIMU IPI INA MATAJI MENGI YA LIGI KUU KATI YA SIMBA NA YANGA.
Umepata. Ngoja nikutafutie zawadi.Lipuli
Suala ni kwamba wako wangapi bongo?Kwani Mpemba sio Mtu.
Yanga ndio inauhakika na mashabiki wake...bank ya posta walitoa kadi ya bank ya Yanga..watu zaidi ya milioni nane walichukua..mikia toeni evidence yenu msituletee porojo za Manara...Wakuu salaam!
Kuna mdau kaanzisha mada na kuonesha Yanga ni namba 1 kwa kuwa na washabiki wengi, binafsi nakataa. Simba ndiyo inaongoza kwa kuwa na washabiki wengi.
Sasa ili kuweka rekodi sawa, tupige kura kwa kujitaja wewe ni mshabiki wa timu gani kisha mwishoni tutatoa matokeo yatakayotumika kama sample ya washabiki wote.
Naanza mimi!
Hata ccm huitwa chama cha wananchi.