Tupige kura, timu ipi ina washabiki wengi kati ya SIMBA na YANGA!

Tupige kura, timu ipi ina washabiki wengi kati ya SIMBA na YANGA!

Yanga timu ya wananchi na wananchi Tanzania ni milion 60 basi mgawo uko hivi simba wana 20 milion yanga 40
 
watu wengine sijui walienda shule kusomea Ujinga.

Yaani unajua kabisa timu yako imejengwa na wapemba...halafu nyingine ni ya WANANCHI.

Na bado unataka kuleta marumbano..

Rage hakukosea kwa kweli.
Kwani Mpemba sio Mtu.
 
Mashabiki wengi wa Yanga ni vilaza wa kutupwa na wamejaa hofu mioyoni mwao.

Umeambiwa wewe ni SIMBA au YANGA??? Sasa fuatilia walio haribu kula zao mpaka sasa ni wangapi ndo utajua Kweli Vyura ufahari wao ni kelele tu wakiwa huko Madimbwini.
 
...Wakuu salaam!
Kuna mdau kaanzisha mada na kuonesha Yanga ni namba 1 kwa kuwa na washabiki wengi, binafsi nakataa. Simba ndiyo inaongoza kwa kuwa na washabiki wengi.

Sasa ili kuweka rekodi sawa, tupige kura kwa kujitaja wewe ni mshabiki wa timu gani kisha mwishoni tutatoa matokeo yatakayotumika kama sample ya washabiki wote.

Naanza mimi!
Yanga ndio inauhakika na mashabiki wake...bank ya posta walitoa kadi ya bank ya Yanga..watu zaidi ya milioni nane walichukua..mikia toeni evidence yenu msituletee porojo za Manara
 
Back
Top Bottom