Tupigeni story mbili tatu🤗🤗

Tupigeni story mbili tatu🤗🤗

Hivi kwanini watu wanashindwa kutofautisha Kati ya Chuki na dharau??🤔🤔

Kwanza kuchukiana sio vizuri na haipendezi, Ila kwa upande wangu Mimi mtu akisema namchukia nakua simwelewi kwasababu naweza tu nikakufungia mageti, yani just unakua out of my businesses na naweza nisishughulike na kitu chako chochote kile lakini haimaanishi kama nakuchukia😃😃. Hata ukitaka nikuombee nitakuombea Sana..

Shida inakuja unaona watu wanalalamika Leejay49 ananichukia au hanipendi nakua sielewi, mnisaidie nyie mnaelewaje hizo sentences mtu akisema🤔🤔🤔

N.B sijazungumzia usnitch maana hao kwa upande flani wananisaidiaga Sana kujua yangu yanayozungumzwa nyuma ya pazia ili ikibidi nibadili tabia sometimes 😂🙃🙃

Jumapili njema in advance
Leejay49, Naomba tujuane kwanza, ndo tuaze Chuki na dharau. 😋😋
 
Inapatikana channel gani hiyo niende nione na Mimi😃😃
FB_IMG_16958138652053383.jpg
 
Back
Top Bottom