makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
🤔🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana wangu humchukii mtu ?El Sadat au ?
namchukia X wangu anayenicheki kila mda na kunipiga vizingaKijana wangu humchukii mtu ?
Uscheke na mtu humu ndani tayari kitabu.Basi kazi wanayo😂.. asa sijui wataanzia wapi wamalizie wapi maana sio kwa urefu wa hiyo novel itakavyokua😃🙃
M or D ?namchukia X wangu anayenicheki kila mda na kunipiga vizinga
ilihali kupasha hataki
BM or D ?
🤗🤔
Leejay49, Naomba tujuane kwanza, ndo tuaze Chuki na dharau. 😋😋Hivi kwanini watu wanashindwa kutofautisha Kati ya Chuki na dharau??🤔🤔
Kwanza kuchukiana sio vizuri na haipendezi, Ila kwa upande wangu Mimi mtu akisema namchukia nakua simwelewi kwasababu naweza tu nikakufungia mageti, yani just unakua out of my businesses na naweza nisishughulike na kitu chako chochote kile lakini haimaanishi kama nakuchukia😃😃. Hata ukitaka nikuombee nitakuombea Sana..
Shida inakuja unaona watu wanalalamika Leejay49 ananichukia au hanipendi nakua sielewi, mnisaidie nyie mnaelewaje hizo sentences mtu akisema🤔🤔🤔
N.B sijazungumzia usnitch maana hao kwa upande flani wananisaidiaga Sana kujua yangu yanayozungumzwa nyuma ya pazia ili ikibidi nibadili tabia sometimes 😂🙃🙃
Jumapili njema in advance
We ni mtundu Sana 😂.
Uchungu wapi ..nipo naangalia picha ya huyu mtu nilie muona Iringa siamini Mshamba anaikana nafsi yake .Mbona umeongea kwa uchungu sana.. Nisimulie kwanza kimekukuta Nini 😃😃
Wapuuze, mda mwingine njaa ndo huwa zinawasumbua 😀Mbona hata bila kujuana wengine wanaanza😃😃
. Njaa ni mbaya sana,Sidhani Kama ni njaa😃😃.. Nimeshindwa kuwadefine ujue 😂
Inapatikana channel gani hiyo niende nione na Mimi😃😃