The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Kweli kabisaAisee
Vya wazungu hivyo maana wao huwa kuwinda kitalii
Uzee unachangia pia na magonjwaSijui ni uzee ndio unaanza kuniingia ama lah, nimeanza kutokupenda kabisa nyama ama mboga iliyotiwa viungo vya aina yoyote.
Kwenye hayo mapishi ya nyama kwangu kuna vitu 2 nisingeweka kabisa, kwanza kukaanga kwa mafuta hiyo hakuna, pili karoti ingekua kidogo sana.
We tulie nitakutumia kabisa 😂Leo siwezi ku screen shot nimesikitika 🥺😂
Mwanangu sijisifii ila mke wangu kwenye sekta hiyo yupo moto sana yani hata akupikie matembele lazima ujilambeDaah....Kuna Raha kupata mke anayejua kupika vizuri
Hongera mkuu
Ugali wa mtama, wanakulaga wakurya na wasukumaAhaahha wa ian gani uho
Asante ngoja nichangamshe miguu 🚶🏼♀️Karibu
Wewe ukute na kipande SasaKweli kabisa
Af na ugali wa muhogo na chikandanga embu niambie hapoView attachment 3314358
Mwachiluwi naona leo kakaangiza kinokera😁
Huku kwangu leo chamaki nchanga wa kubanikwa😁
Umeniudhi kwa kubukanya Kiswahili eti nyama mzuri. Senzi we.Hellow wapendwa poleni na kazi leo tunapika nyama pori mzuri kwa ugali
Kwanza chemsha hii yangu sio ngumu kuiva ata mvuke peke yake unaivisha
wakati nyama iko jikoni niliandaa viungo vyangu kama unavyo viona hapo chini vzr vitunguu maji viwe vingi sana kuna watu wanatumia kitunguu kimoja kwa mboga mbili mimi nimetumia vitatu vitunguu kwenye mboga ni vizuri sana
View attachment 3314308
Baada ya hapo nikaanza kukaanga nyama kwanza baada ya mafuta kupata moto vizuri
View attachment 3314310
Nilikaanga kwa muda mpaka nilipoona nyama imeanza kuwa na rangi ya blown
View attachment 3314312
Kisha nika weka viungo vyangu vyote kwa wakat moja hapo
View attachment 3314313
Nika vichanganya vizuri kisha nikaweka nyanya nilio brend na wakati na brend nyanya naweka mafuta kidogo ili nyanya iwe mzuri zaidi
View attachment 3314315
Baada ya hapo nyanya kuiva nikaweka limao kidogo na source kama unayo unaweka pia nikaweka na pilipili
View attachment 3314316Nyama yangu teyari kwa ugali unaweza kula kwa ndizi za kukaanga au choma pia unaweza lia na wali au chips karibu sana umeme ukirudi tutasonga ugali kwa leo inatosha. 😂
Kweli kabisa na samaki sioUgali wa mtama, wanakulaga wakurya na wasukuma
Wai chapAsante ngoja nichangamshe miguu 🚶🏼♀️
Fafanua mkuu kiboko gani unamaanisha?Nyama ya kiboko tamu sana you should try it
Ahaah. Utatafuta ndugu na huwapati utakodoa macho tuWewe ukute na kipande Sasa
Utasema Nyati mzima yupo wapi😅
Ndio kabisa na samakiKweli kabisa na samaki sio
Ahahaha samahani mkuu 😂Umeniudhi kwa kubukanya Kiswahili eti nyama mzuri. Senzi we.
Si unipe mbinu za kuchagua fundi kwenye hiyo sektaMwanangu sijisifii ila mke wangu kwenye sekta hiyo yupo moto sana yani hata akupikie matembele lazima ujilambe
Na ndio ugali wenye virutubisho ssUgali wa mtama, wanakulaga wakurya na wasukuma
Hawezi kuwa digidigi huyo, atakuwa tumbili tu!Ukaona ukamate kadigidigi ukale