Tupike pamoja wali nazi, maharage nazi na miguu ya kuku

Hapo kwa Castle light Ndio umenikosha
 
Mim sio wa kishua ila miguu ya kuku,ngozi na utumbo sili 😂
 
🍺 Beer na kvant haaahaa TUNDAMAN FT HARMONIZE_ MTU MBADI/MTU MBAYA.

Ngoja na Mimi nielekee sehemu nipate konyagi ndogo moja inanitosha Sanaa.

Aisome min -me
 
Ndio mana yake.
Unapata stimu tamu sana.

Konyagi ndogo itaisha haraka.
Beba kubwa ikibaki unarudi nayo home😄
Itanipoteza network 😆 hii ndogo inatosha nakua haile haile kwa jion huwa napiga ndogo moja na toti mbili nakua level mpaka usiku wa manane
 
hivi hio miguu ya kuku unakulaje?
anyway nije tujumuike wote kwenye mivinyo...
Hata me huwa nashangaa, kula miguu ya kuku, utumbo wa kuku, utumbo wa ng'ombe,mbuzi, kondoo na the like ni ulofa,hayo masalia huwa ni kwa ajili ya viumbe wengine tuwafugao kama mbwa na paka, nyinyi ndo mnaofanya mbwa na paka wale msusa na mahindi ya kuchoma coz bidhaa zao mmeziteka
 
Unashangaa hivyo nenda kwenye Chinese restaurants ndio urudi hapa kukoment.
😁
Wasalam
 
Utajuaje kama nasi ni mbwa na paka tuliojivika ngozi ya binadamu je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…