King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
Stahiki za ubunge znamtenganisha mbunge na maisha halisi ya mtanzania ndo mana wakiingia bungeni huwa wanabadilika ghafla kwa sababu zile pesa zina flash mentality yote aliyokuwa nayo before.Assume mtu alikuwa mtumish wa umma anaish kwa mshahara wa take home ya laki nne. mara ghafla anaanza kupokea posho za 240k.per day hapo bado zile 8M mwisho wa mwez. huyu mtu lazma abadilike hata namna ya ufikiriaji maana anasahau kabisa zile hustle za mshahara wa laki 4.