Tupime thamani ya pesa hapa (Value for Money) Je, Maslahi ya Mbunge yanaakisi hali halisi ya mwananchi wa kawaida?

Stahiki za ubunge znamtenganisha mbunge na maisha halisi ya mtanzania ndo mana wakiingia bungeni huwa wanabadilika ghafla kwa sababu zile pesa zina flash mentality yote aliyokuwa nayo before.Assume mtu alikuwa mtumish wa umma anaish kwa mshahara wa take home ya laki nne. mara ghafla anaanza kupokea posho za 240k.per day hapo bado zile 8M mwisho wa mwez. huyu mtu lazma abadilike hata namna ya ufikiriaji maana anasahau kabisa zile hustle za mshahara wa laki 4.
 
inakuwa Kama amefrash life la umasikini
 
Mimi sijaelewa hpo yaani wana posho ya kikao 240K na 120K ya kujikimu kwani hata akina sisi tunapolipwa mshahara si kwa ajili ya kujikimu? Iweje sasa mtu alipwe tena 240K kwa kufanya kazi ambayo analipwa 8M mwisho wa mwezi? Yaani ni sawa na mwalimu akitoka kufundisha alipwe posho ya kipindi ilhali ana mshahara mwisho wa mwezi hapo sijapaelewa!
 
ndo hapo sasa shangaa na wewe bwana hakimu
 
Kuna mtu alisema tz ni tajiri sana "we were suppossed to be the donor country"
 
Ndugu zanguni Mimi ninaomba tu kuuliza:

Hivi mbunge anayepata posho anapochaguliwa kuwa Waziri...anapokea Mshahara was Mbunge na posho zake zote na anachukua pia mshahara was Uwaziri na posho zake zote ama kuna mmoja anakuwa hapewi???
 
zote zake
 
na marupurupu ya takrima au zawadi kibwena anapokea
 
Mimi sijaelewa hpo yaani wana posho ya kikao 240K na 120K ya kujikimu kwani hata akina sisi tunapolipwa mshahara si kwa ajili ya kujikimu? Iweje sasa mtu alipwe tena 240K kwa kufanya kazi ambayo analipwa 8M mwisho wa mwezi? Yaani ni sawa na mwalimu akitoka kufundisha alipwe posho ya kipindi ilhali ana mshahara mwisho wa mwezi hapo sijapaelewa!
ndo ujue sasa kwa nn watu wanaulilia ubunge.

Najuta kwa nn skuchukua fom asee.
 
inakuwa Kama amefrash life la umasikini
Ubunge mtamu wewe 🤣🤣🤣 ningekuwa na karama ya siasa ningegombea. Ubunge hata ukiupata ukiwa na miaka 50 unakufa tajiri.

Zuri zaidi hauna ukomo unaweza piga hata term4!
 
Ndugu zanguni Mimi ninaomba tu kuuliza:

Hivi mbunge anayepata posho anapochaguliwa kuwa Waziri...anapokea Mshahara was Mbunge na posho zake zote na anachukua pia mshahara was Uwaziri na posho zake zote ama kuna mmoja anakuwa hapewi???
Vyote anapewa
 
Ubunge mtamu wewe 🤣🤣🤣 ningekuwa na karama ya siasa ningegombea. Ubunge hata ukiupata ukiwa na miaka 50 unakufa tajiri.

Zuri zaidi hauna ukomo unaweza piga hata term4!
hahaha
 
Back
Top Bottom