Tupo kwenye vita kali sana ya kiuchumi na Kenya

Tupo kwenye vita kali sana ya kiuchumi na Kenya

Hamko kwenye vita, ila mna mambo ya ajabu mnafanya ambayo yanafukuza wawekezaji, kumbuka kiwanda cha kuunda magari cha mercedez benz? Wakahamia rwanda
Mkuu, wale itakuwa walichunguza purchasing power wakaona tuna idadi kubwa ya watu ila wenye nguvu ya manunuzi ni wachache.

Kufungua kiwanda cha benzi hapa kwa kipindi kile ni sawa na umeenda kwa wamasai huko ukafungua duka kubwa unauza boxer 100% cotton bei sawa na ndama mdogo. Wamasai watakuja wavae kujaribu wakuachie hapo zikiwa chafu.
 
Huu ni uongo mwingine
Kwenye manufacturing wanaangalia cost of production kama kipaumbele

Mexico inavutia viwanda vingi kuliko marekani kwa sababu wana cost of production ndogo
 
Hawaangalii demand na purchasing power sio? Sawa.
Cost of production ndo priority
Japana na south korea wanaviwanda vingi vya steel kwa sababu wanacost of production ndogo sana

Mexico amezidiwa na marekani kila kitu gdp, purchasing power ila wanavutia viwanda vingi kuliko marekani sababu wana cost of production ndogo
 
Back
Top Bottom