City Of Lies
Platinum Member
- Sep 8, 2011
- 6,073
- 7,997
Yupo sahihi hapo aliposema tuna mambo ya ajabu.Hayuko sahii rwanda wana assembly na sio manufacturing factory ya bmw
Yupo sahihi hapo aliposema tuna mambo ya ajabu.Hayuko sahii rwanda wana assembly na sio manufacturing factory ya bmw
Nyie SI muko bize na matamko ya maandamano!Ukifuatilia matukio mawili utagundua tupo kwenye vita kali sana ya kiuchumi na kenya
Soma pia Dangote aichagua Kenya badala Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta
- Dangote refinery in mombasa
- Rwanda kuanza kutumia bandari ya mombasa kushafirisha mafuta
Imagine unabomba la mafuta na bado una-hatuwezi mshawishi mwekezaji kuja kujenga refinery hapa TanzaniaYupo sahihi hapo aliposema tuna mambo ya ajabu.
Maandamano mbona hata hayana uhusiano na madaNyie SI muko bize na matamko ya maandamano!
kwan kenya hawana maandamano sema sisi viongozi hawajielewi wala hawana akiliNyie SI muko bize na matamko ya maandamano!
Nimesema sawa. Kwani nimekubishia? Benz hawakuangalia Purchasing power wala demand, waliangalia cost of production kama unavyosema.Cost of production ndo priority
Japana na south korea wanaviwanda vingi vya steel kwa sababu wanacost of production ndogo sana
Mexico amezidiwa na marekani kila kitu gdp, purchasing power ila wanavutia viwanda vingi kuliko marekani sababu wana cost of production ndogo
Vita ni neno pana sana ni pamoja na hayo uliyoyasemaHakuna vita yoyote na kenya ni vile tu uelewa mdogo na nia mbaya ya viongozi wetu,inakuaje kenya awese kuziconvice nchi kama rwanda watumie bandari yao ambayo kijiografi iki mbali sana na kenya,kama ni ushindani sisi tujaribu kuwaconvince ethiopia au south sudan watumie bandari zetu,stratergy ya viongozi wetu waliopo madarakani si ya nia njema kama nchi ni kwa ajili ya familia zao,ili mradi wameshika mpini na wakiangalia future ya familia zao baada ya miaka 20,inatosha kwao
Na Tanganyika ndo ilikuwa nchi PENDWA ya German na hadi sasa German anaipenda sana saana Tanganyika.Yeah that assembly plant, wajerumani wali approach tz kwanza? What happened ?
Mkuu, hata ingekuwaje Rwanda haiwezi kuwa na purchasing power kuliko Tz. Hiyo assembly ingepelekea Kenya tungekuwa na cha kuhoji.Mkuu, wale itakuwa walichunguza purchasing power wakaona tuna idadi kubwa ya watu ila wenye nguvu ya manunuzi ni wachache.
Kufungua kiwanda cha benzi hapa kwa kipindi kile ni sawa na umeenda kwa wamasai huko ukafungua duka kubwa unauza boxer 100% cotton bei sawa na ndama mdogo. Wamasai watakuja wavae kujaribu wakuachie hapo zikiwa chafu.
Sisi adui wetu ni chadema na maria sarunguUkifuatilia matukio mawili utagundua tupo kwenye vita kali sana ya kiuchumi na kenya
Soma pia Dangote aichagua Kenya badala Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta
- Dangote refinery in mombasa
- Rwanda kuanza kutumia bandari ya mombasa kushafirisha mafuta
Hii mifumo mibovu ni moja ya janga alilotuachia Hayati Nyerere. Nchi ina process za kipumbavu pumbavu na bado hapo mtu atataka apige 50% kwenye taasisi yake.Mkuu, hata ingekuwaje Rwanda haiwezi kuwa na purchasing power kuliko Tz. Hiyo assembly ingepelekea Kenya tungekuwa na cha kuhoji.
Purely walivutiwa na sera rahisi/favorable za uwekezaji. Rwanda ukitaka kusajili biashara kama muwekezaji na una kibunda cha kutosha mambo yanaisha chap chap, wana one stop center ya kushughulikia hilo.
Wawekezaji hasa wanaokuja Tz, huwa wanahoji serikali ni nani? Kwa maana kuna process nyingi ambazo utadeal na taasisi moja moja (serikali) na wengine watapingana kutengeneza mazingira ya rushwa. Kibali cha ujenzi wa kiwanda kinaidhinishwa kote, kinaenda kukwama kwenye taasisi moja mfano NEMC, Zinaanza danadana, mara mkamuone waziri mara mkuu wa mkoa , mtu kama mkuu wa mkoa anafanya nini kwenye uwekezaji kama si kuongeza unnecessary bureaucracy? na unajiuliza kiliwezaje kupita huko kote kikakamwe kwenye taasisi moja?
Tunaipenda nchi yetu, nchi yetu ni nzuri sana tumekosa uongozi bora tu ambao uko kwaajili ya watu.
Nyerere alishafariki, waliopo sasahivi ndo wapo responsible. Nyerere hajashika mtu mguu asifanye mabadiliko, tumuache apumzike kwa amani.Hii mifumo mibovu ni moja ya janga alilotuachia Hayati Nyerere. Nchi ina process za kipumbavu pumbavu na bado hapo mtu atataka apige 50% kwenye taasisi yake.
Ukienda tena ofisi nyingine nayo itataka % na hapo bado taasisi ya uwekezaji na wizara husika. Mambo ni HOVYO kabisa.
Sisi Tanganyika ni maskini kwa sababu watawala, kwa makusudi wamedhamiria kutufanya mafukara ili watutawale kirahisi.Tuko kwenye vita lakini Mungu katupendelea sana Tanzania.
Kila siku najiuliza kwa nini Tanzania ni masikini?
Kwa ardhi yetu yenye rutuba inatosha kutufanya matajiri
Ameshanielewesha mda huko juu Dennis Robert Shughuru nikamuelewa. Shukraan kwa msisitizo.Mkuu, purchasing power haihusiki. Ingekuwa purchasing power inahusika, wamarekani wasingeenda kuweka viwanda China enzi hizo China ni maskini wa kutupwa.
ThanksAmeshanielewesha mda huko juu Dennis Robert Shughuru nikamuelewa. Shukraan kwa msisitizo.
Pamoja mkuuThanks