Tupo kwenye vita kali sana ya kiuchumi na Kenya

Mkuu, wale itakuwa walichunguza purchasing power wakaona tuna idadi kubwa ya watu ila wenye nguvu ya manunuzi ni wachache.

Kufungua kiwanda cha benzi hapa kwa kipindi kile ni sawa na umeenda kwa wamasai huko ukafungua duka kubwa unauza boxer 100% cotton bei sawa na ndama mdogo. Wamasai watakuja wavae kujaribu wakuachie hapo zikiwa chafu.
Unatupiga kamba mkuu; Tanzania imezungukwa na landlocked countries 8 hao wote ni wateja almost population ya 300 milion people.
 
Na Tanganyika ndo ilikuwa nchi PENDWA ya German na hadi sasa German anaipenda sana saana Tanganyika.

Tumebahatika kupendwa na German na UK ila kwa bahati mbaya tukashikamana na China ambayo hadi sasa kwangu naona ni UPUUZI tu.
Uingereza ni kisiwa tu kile kama Zenji sema wametutangulia maendeleo.
 
Ukifuatilia matukio mawili utagundua tupo kwenye vita kali sana ya kiuchumi na kenya
  1. Dangote refinery in mombasa
  2. Rwanda kuanza kutumia bandari ya mombasa kushafirisha mafuta
Soma pia Dangote aichagua Kenya badala Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta
mwalimu dennis robert shughuru kama ulimsikiliza Makamu wa Rais wa Dangote Industries ameweka wazi kuwa Kenya ilichaguliwa kwa sababu ya ufanisi wa miundombinu, usafirishaji (logistics), soko kubwa la nishati, na uwepo wa bandari yenye kina kirefu. hakuna cha vita wala vurugu.
 
Unatupiga kamba mkuu; Tanzania imezungukwa na landlocked countries 8 hao wote ni wateja almost population ya 300 milion people.
Nimemsikiliza raia mmoja wa Zimbabwe kama sio rais wao anasema Tanzania ni Straight of Hormoz ya nchi 8.

Kama hili tu dogo ukiacha rasilimali nyingi ambazo zimegeuka kuwa laana na chanzo cha umasikini hao Kenya na na Rwanda tunawasingizia tu. Kama ni wajanja waje watutawale tu kama sisi tumeshindwa kujiletea maendelea kwa neema Mungu alizotupa.
 
Mkuu, wale itakuwa walichunguza purchasing power wakaona tuna idadi kubwa ya watu ila wenye nguvu ya manunuzi ni wachache.

Kufungua kiwanda cha benzi hapa kwa kipindi kile ni sawa na umeenda kwa wamasai huko ukafungua duka kubwa unauza boxer 100% cotton bei sawa na ndama mdogo. Wamasai watakuja wavae kujaribu wakuachie hapo zikiwa chafu.
Uko sahihi watumiaji wa Mercedes bongo ni wachache sana watumiaji wengi ni wa Toyota kwa hiyo hata kama wangeanzisha wangepata hasara
 
Niliwaza hivi pia, ila Wadau wanasema hiyo si factor, factor ni gharama za uzalishaji.
 
Mkuu, wale itakuwa walichunguza purchasing power wakaona tuna idadi kubwa ya watu ila wenye nguvu ya manunuzi ni wachache.

Kufungua kiwanda cha benzi hapa kwa kipindi kile ni sawa na umeenda kwa wamasai huko ukafungua duka kubwa unauza boxer 100% cotton bei sawa na ndama mdogo. Wamasai watakuja wavae kujaribu wakuachie hapo zikiwa chafu.
Nafikiri suala kubwa ni kutoaminika kwa sera za serikali ya Tanzania kwa sababu zinabadilika mno degree 90 au 180 muda wowote na pili ni Tanzania haina utamaduni thabiti wa kuheshimu private property rights.
 
Nimemsikiliza raia mmoja wa Zimbabwe kama sio rais wao anasema Tanzania ni Straight of Hormoz ya nchi 8.

Kama hili tu dogo ukiacha rasilimali nyingi ambazo zimegeuka kuwa laana na chanzo cha umasikini hao Kenya na na Rwanda tunawasingizia tu. Kama ni wajanja waje watutawale tu kama sisi tumeshindwa kujiletea maendelea kwa neema Mungu alizotupa.
Hapa bongo ndio Marekani ya East Afrika tushindwe wenyewe tu.
 
Nimemsikiliza raia mmoja wa Zimbabwe kama sio rais wao anasema Tanzania ni Straight of Hormoz ya nchi 8.

Kama hili tu dogo ukiacha rasilimali nyingi ambazo zimegeuka kuwa laana na chanzo cha umasikini hao Kenya na na Rwanda tunawasingizia tu. Kama ni wajanja waje watutawale tu kama sisi tumeshindwa kujiletea maendelea kwa neema Mungu alizotupa.
Hajakosea. Yaani location ya Tanzania tu inatosha kutufanya tuwe mojawapo ya nchi zenye uchumi mkubwa barani Afrika, location tu hata ukitoa makorokoro mengine.
Angalia hata kwenye historia, wageni kutoka Asia enzi hizo karne ya 13,14 na kuendelea, nchi yetu ndo ilikuwa ina muingiliano nao mkubwa wa kibiashara kuliko nchi nyingine. Hayo yote ni sababu ya LOCATION.
 
Shida ni nini sasa?
 
Kuna hoja hapa. Turejee suala la Dangote cement.
Tanzania kila mtawala akija anakuja na mambo yake na hii inatokea kwa sababu sera nyingi za nchi wakati zinatengenezwa haziakisi uhalisia wa muda mrefu pamoja pia na mipango na mikataba mingi inaingiwa katika mazingira ya kukosa umakini, uzembe, ufisadi na rushwa.
 
Umesahau na uchama. Hakuna sera za taifa kuna sera za chama halafu sera za chama zipo nyingiii, kila kiongozi anajichagulia tu ipi ina manufaa kwa wakati husika.
 
Back
Top Bottom