100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Unaona yule kijana aliyeanzisha kampuni ya kufanya money transactions, inaitwa NALA , Fernandez kitu kama hiko.Hii mifumo mibovu ni moja ya janga alilotuachia Hayati Nyerere. Nchi ina process za kipumbavu pumbavu na bado hapo mtu atataka apige 50% kwenye taasisi yake.
Ukienda tena ofisi nyingine nayo itataka % na hapo bado taasisi ya uwekezaji na wizara husika. Mambo ni HOVYO kabisa.
Ni kijana mwenzetu wa Kitanzania, lakini HQ za kampuni kaziweka Nairobi Kenya.
Research na vitu vingi stages za mwanzoni alifanyia Tanzania, baadae akakimbilia Kenya.
Tujiulize.