Tupo kwenye vita kali sana ya kiuchumi na Kenya

Tuna Jiografia nzuri sana ya kuzifanya Nchi jirani karibu zote wakatumia bandari zetu sema h
atutengenezi mazIndira mazuri kwa wao kufanya biashara na sisi kwa sababu akili zetu tumewekeza kupata misaada na kutumia makampuni ya Nje kuja kufanya hata vitu tunavyoweza kufanya sisi ni kama Ubongo umedumaa sana na sidhani kama hili tatizo wataweza kulitatua kwa kipindi cha karibuni maana watu ni wale wale na mawazo yao kila kukicha ni yale yale.
 
Hili swala limeniumiza sana na nimegundua hii nchi wanaitumia kwa ajili ya kufikia malengo yao binafsi na hawaipendi hata kidogo

Kuna mda mpaka unajuta kwanini umezaliwa hapa Tanzania kuna mambo ya ajabu sana yanafanyika
 
Msumbiji wanajenga barabarani ya lane 6 kutoka bandari ya Beira Hadi Zambia kwaajili ya kusafirisha mizigo itakayoenda Hadi Congo na Burundi Kwa kutumia masaa 16 Tu.
Barabara inajengwa na wafaransa na itakuwa ya kulipia pesa ndogo Sana, ukija hapa Tanzania barabara zote zimekufa ni nchi gani inaweza kutumia bandari ya Tanzania baada miaka 5 mbele?
Barabara zote zimekufa nchini alafu unataka kuifananisha Tanzania na Kenya?
Ni kweli kuna matengenezo ya barabara toka Beira hadi Lusaka, lakini sio kwa kiwango cha njia sita.

Ujenzi na matengenezo hayo yanafanyika kwa baadhi ya maeneo tu katika barabara hiyo kwa kiwango cha njia mbili.

Ikumbukwe kuwa umbali wa kutoka Beira hadi Lusaka ni Km 1050, huku umbali toka Dar hadi Lusaka ni Km 1950.

Ukiachana na ubovu wa Tanzam Highway, kuna tatizo kubwa la kuvuka mpaka wa Tunduma - Nakonde na umbali mrefu toka Dar kwenda Zambia Hizi sababu tatu zinaweza kuchochea mizigo mingi kupitia Beira Corridor.
 
Shukran Sana mkuu Kwa kuongeza nyama
 
Kuvuka mpaka wa tunduma kwanini kusiwekwe mageti 100 kuna mambo yanashangaza sana
 
Billionaire Aliko Dangote alichagua Kenya kwa sababu ya miundombinu bora, soko kubwa la mafuta, na bandari ya asili yenye kina kirefu kule Lamu. Uamuzi huu ulifikiwa baada ya ushindani mkubwa Tanzania
 
Uwekezaji kitu cha kwanza wamachoangalia ni cost of production ndo jambo la kwanza la kuangalia
 
Back
Top Bottom