4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Hakuna cha vita hapa , shida kuu tz imekosa utulivu wa kisiasa , wahuni wanaliangamiza taifaUkifuatilia matukio mawili utagundua tupo kwenye vita kali sana ya kiuchumi na kenya
Soma pia Dangote aichagua Kenya badala Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta
- Dangote refinery in mombasa
- Rwanda kuanza kutumia bandari ya mombasa kushafirisha mafuta