Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #141
Nyerere na JPM ndio wametufikisha hapa, kama nyerere kwa kweli kwa upande wangu sioni kitu amefanya, ukibisha lete fact, JPM sawa amefanya mengi ila amedidimiza upinzani.
Ukifuatilia hotuba za Nyerere nyingi utaona anailaumu katiba ya mwaka 1977 ambayo yeye ndo muasisi binafsi haya ni moja ya jambo linalofikirisha sana
Kwamba unatengeneza katiba alafu baadae unatumia mda kuiponda kwamba ni mbovu binafsi hili ni jambo ambalo binafsi mpaka leo linanifikrisha sana
Kwenye marekebisho ya katiba yote ambayo Nyerere alikuwa hai hakuna hata sehemu moja kwenye Marekebisho Nyerere alirekebisha katiba ili kuondoa madaraka makubwa ya Rais ambayo amekuwa akiyalalamikia jibu alikipenda chama kuliko nchi
Mabadiliko ya katiba ya mwaka 1977 wakati Nyerere akiwa hai

- ...
- Dennis Robert Shughuru
- Replies: 150
- Forum: Jukwaa la Siasa
Kwenye huu uzi nliquestion uwezo wa nyerere kwenye uongozi na kujenga misingi imara ya nchi