Tupo kwenye vita kali sana ya kiuchumi na Kenya

Tupo kwenye vita kali sana ya kiuchumi na Kenya

Angela Merkel alikuwa mwanaume? Au ndo yaleyale ya kuficha udhaifu wa mtu kwa kusingizia jinsia?
Baadhi ya nchi hata kichaa anaweza kuwa rais na mambo yakawa sawa kwa sababu hizo nchi zinakuwa na STRONG INSTITUTION..TUMIA AKILI WEWE NG'OMBE....
 
Kuna mambo tunajitakia wenyewe..mfano.bandari yetu inahudumia sana Zambia, malawi na congo. Kuna shida gani serikali ikajenga barabara bora kabisa ya njia nne labda kuanzia dar hadi Kasumulu/Tunduma ili malori ya mizigo yatumie tu siku moja? Barabara mbovu ajari kila kukicha na mizigo haifiki kwa wakati ndomana Rwanda amesepa
Karne tunahitaji reli za SGR kusafirishia mizigo na watu, sio barabara tena.
 
Baada ya Miaka mitano tutabakia Tanzania pekee tunatumia single lanes wakati wenzetu Huko nje wapo kwenye project za kutumia six lanes
Barabara zimekufa na usumbufu wa foleni kwenye mizani na traffic kila baada ya km 5.
Tumewapa wajinga waongoze nchi
Tunahitaji reli za SGR zaidi kuliko barabara.
Inatakiwa ijengee reli ya SGR kutokea Morogoro mpaka Tunduma na Kasumulu.
Ijengwe nyingine kutokea Dar mpaka Mtwara na Ruvuma, nyingine kutokea Dar Mpaka Tanga, Arusha na Manyara.
 
Cartels, Cartel zenye mchanganyiko na fikra za kijamaa za kishamba huwa zinataka Kila kitu Kwa asilimia Mia moja kiwe chini Yao, kwasababu za kijinga tu ambazo wanaona wao hawafaidiki Kwa asilimia Fulani basi wanaamua kupuuza na walivyo wajinga always wanachelewa kufika au kuongelea deals, wao Wanasubiri dakika za Jioni ndio wanahangaika Ku close the deal sasa Mabepari watu wa Aina hii huwa hawana nafasi kwenye ulimwengu wao wa biashara....

Wewe kama Una Jambo lako la Muhimu linalohitaji kupita kwenye Taasisi au mamlaka Fulani Fulani utaona namna utakavyochelewa, sio kwamba kuna ugumu Bali viongozi wanaona Raha Tu kukaa na Mafaili au kazi nyingi Huku yy akiwa anazurura Tu wala Hana cha maana anachofanya, ndio maana matajiri wa watz-waki Asia huwa ili mambo Yao yaende wanapita mlango WA nyuma ndio vitu vinakwenda fasta...

TZ sehemu ndogo Tu ya kutia saini na kupiga mhuri itakuchukua muda mrefu Sana hasa humo wizarani Hadi maelekezo yawe mengi ndio watu wanachangamka kinafki so we are not quick enough to close the deals, actually...

Kuna wapuuzi wachache huwa wanakaa weee vikao uchwara na kuanza kujadili any big investment, wanajadili ujinga Tu na fikra zao za miaka ya Nyerere, wakimaliza basi wanatoka na maazimio ya hovyo ambayo ni aibu kuyasema hadharani so mambo yanakuwa na dillema mwisho wa siku tunapigwa knockout maana hakuna connection ya taarifa ili watu wafanye maamuzi sahihi, kundi moja linajua hivi jingine linajua vile na hakuna aliye tayari kushare anachojua zaidi ya Kila moja kuvutia kwake na kuviziana Nani akosee watu wapige pesa ya soda.

Kenya wao licha ya kutofautiana lakini likija deal huwa wanachangamka, flow of informations inakuwa ya kiwango cha kutisha na haraka, taarifa zinaunganishwa na watu wanachukua maamuzi ya pamoja japo watagawana section za Kula Kila kundi au watu na kipande chake cha Kula...
 
Ile foleni ya pale Tunduma inaonesha jinsi gani hatupo serious.Yaani kwenye zama za AI watu wanakaa foleni wiki nzima? China wanahudumia dunia nzima na wanafanya mambo yanaeleweka. Sisi kuhudumia nchi hazifiki 10 tumeshindwa.
Management ni changamoto sana kwa Tanzania
 
Hawaangalii demand na purchasing power sio? Sawa.
Inategemea wanalenga soko gani, huwezi kuweka kiwanda cha Benz Rwanda ukitegemea kuwauzia wanyarwanda,east Africa hawana hela za kununua gari jipya
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ongezea masuala ya private property rights. Ukiwekeza Kenya una uhakika hakuna wa kuchukua au kuharibu uwekezaji wako miaka yote tofauti na Tanzania ambapo serikali au Rais wanaweza kunyang'anya mali au kutimua wawekezaji kirahisi sana.
Yes hilo pia ni muhimu sana hata mkuu wa wilaya tu anaweza kukuanzishia mgogoro na usijue unaanzia wapi ili upate msaada wa kurudisha mali yako sheria zetu haziko wazi zina konakona sana na muda mwingine hata sheria zilizopo hazifuatwi na ndio maana wakina Mo Dewji na Bakhresa wamewekeza kwenye nchi nyingi ili kujihakikishia usalama wa utajiri wao
 
Hakuna vita yoyote, uchumi wa bongo na Kenya bado ziko kwenye hatua za mwanzo na zina potential kubwa sana ya kukua mara hata 1000, market opportunities bado ni nyingi, demand inaongezeka, na competition bado Iko chini sana
 
Yes hilo pia ni muhimu sana hata mkuu wa wilaya tu anaweza kukuanzishia mgogoro na usijue unaanzia wapi ili upate msaada wa kurudisha mali yako sheria zetu haziko wazi zina konakona sana na muda mwingine hata sheria zilizopo hazifuatwi na ndio maana wakina Mo Dewji na Bakhresa wamewekeza kwenye nchi nyingi ili kujihakikishia usalama wa utajiri wao
Yamewakuta Manji, Mbowe, Hanspope, Sugu na wengine wengi tu wakubwa kwa wadogo.
 
Ukifuatilia matukio mawili utagundua tupo kwenye vita kali sana ya kiuchumi na kenya
  1. Dangote refinery in mombasa
  2. Rwanda kuanza kutumia bandari ya mombasa kushafirisha mafuta
Soma pia Dangote aichagua Kenya badala Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta

..kama Tz tunataka Refinery basi tukatafute wawekezaji na sio ku data kwa Dangote peke yake.

..uwezo wa kujenga refinery wenyewe bila kutegemea wawekezaji tunao isipokuwa watawala wetu wana vipaumbele vya hovyo.

..pia kila nchi yenye bandari ina haki na nafasi sawa ya kuziimarisha na kuvutia watumiaji.

..sasa hivi tunaisema sana bandari ya Mombasa, huku tukisahau bandari kama Nacala, na Beira, zilizoko Msumbiji.

..bandari za Msumbiji zinazidi kuimarika hivyo Tanzania tusipojipanga tutashtukia tumepoteza mizigo inayokwenda Malawi, na Zambia
 
Walitaka kumnyang'anya Hotel yake, NEMC walikuwa wanadai amejenga kwenye chanzo cha maji😁
Dah inasikitisha sana mtu unaumiza kichwa unapambana miaka na miaka kutokomeza umaskini halafu wanakuja vilaza from nowhere ambao wamewekwa na mjomba kwenye ofisi hawajui side hustles wanaanza kuongea nonsense inauma sana ndio maana watu wenye hasira za karibu huwa wanafanya matukio ya ajabu yasioweza kudhaniwa
 
Hamko kwenye vita, ila mna mambo ya ajabu mnafanya ambayo yanafukuza wawekezaji, kumbuka kiwanda cha kuunda magari cha mercedez benz? Wakahamia rwanda
PIA 10% ZINAKIMBIZA SANA WAWEKEZAJI HAPA TANZANIA,AIDHA BAADA YA MWEKEZAJI KUWEKEZA HUKOMALIWA VIUSHURU AMBAVYO HAVINA KICHWA WALA MIGUU,PIA UKIGEU GEU,WA VIONGOZI BAADA YA SEREKALI KUBADILIKA,KAMA SIKOSEI NI LAZIMA MEKO ALIMFANYA KITU MBAYA BW.DANGOTE.....(Terms zote zilizo katika makubaliano ziangaliwe na zifuatwe,huyu bwana iliwahi kudokezwa alitaka cement iuzwe 5000/-hapo kati sijui kilitokea nini?
 
Shida viongozi wetu wengi ni mafala na wabinafsi sana, wanaangalia matumbo yao tu na familia zao basi. Tanzania viongozi tulibahatika kuwa na Nyerere na Magufuli tu, wengine wote hamna kitu.
Nyerere na JPM ndio wametufikisha hapa, kama nyerere kwa kweli kwa upande wangu sioni kitu amefanya, ukibisha lete fact, JPM sawa amefanya mengi ila amedidimiza upinzani.
 
Back
Top Bottom