Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Ukifuatilia matukio mawili utagundua tupo kwenye vita kali sana ya kiuchumi na kenya
- Dangote refinery in mombasa
- Rwanda kuanza kutumia bandari ya mombasa kushafirisha mafuta
View: https://vt.tiktok.com/ZSC3KrhPL/
View attachment 3624856
Uzi ufungwe, umemaliza kila kituHamko kwenye vita, ila mna mambo ya ajabu mnafanya ambayo yanafukuza wawekezaji, kumbuka kiwanda cha kuunda magari cha mercedez benz? Wakahamia rwanda
Tunamuweza vizuri sanaHATUMUWEZI
Kuna mambo yanafanyika hata huelewiTuko kwenye vita lakini Mungu katupendelea sana Tanzania.
Kila siku najiuliza kwa nini Tanzania ni masikini?
Kwa ardhi yetu yenye rutuba inatosha kutufanya matajiri
Mkuu, wale itakuwa walichunguza purchasing power wakaona tuna idadi kubwa ya watu ila wenye nguvu ya manunuzi ni wachache.Hamko kwenye vita, ila mna mambo ya ajabu mnafanya ambayo yanafukuza wawekezaji, kumbuka kiwanda cha kuunda magari cha mercedez benz? Wakahamia rwanda
Huu ni uongo mwingineMkuu, wale itakuwa walichunguza purchasing power wakaona tuna idadi kubwa ya watu ila wenye nguvu ya manunuzi ni wachache.
Kufungua kiwanda cha benzi hapa kwa kipindi kile ni sawa na umeenda kwa wamasai huko ukafungua duka kubwa unauza boxer 100% cotton bei sawa na ndama mdogo. Wamasai watakuja wavae kujaribu wakuachie hapo zikiwa chafu.
RWanda hakuna kiwanda cha magari bali kuna assembly tuache upotoshajiHamko kwenye vita, ila mna mambo ya ajabu mnafanya ambayo yanafukuza wawekezaji, kumbuka kiwanda cha kuunda magari cha mercedez benz? Wakahamia rwanda
Hawaangalii demand na purchasing power sio? Sawa.Huu ni uongo mwingine
Kwenye manufacturing wanaangalia cost of production kama kipaumbele
Mexico inavutia viwanda vingi kuliko marekani kwa sababu wana cost of production ndogo
Sababu ni sera zilizopitwa na CCMHATUMUWEZI
Cost of production ndo priorityHawaangalii demand na purchasing power sio? Sawa.
Uko sahihi mkuu.Hamko kwenye vita, ila mna mambo ya ajabu mnafanya ambayo yanafukuza wawekezaji, kumbuka kiwanda cha kuunda magari cha mercedez benz? Wakahamia rwanda
Hayuko sahii rwanda wana assembly na sio manufacturing factory ya bmwUko sahihi mkuu.
Yeah that assembly plant, wajerumani wali approach tz kwanza? What happened ?Hayuko sahii rwanda wana assembly na sio manufacturing factory ya bmw
So what happened ? Yes si kiwanda sorry for my typo but ilikuwa assembly plant pekee ya mercedez east africa, nini kilitokea?RWanda hakuna kiwanda cha magari bali kuna assembly tuache upotoshaji
Kuna mda najiuliza hivi kweli hii nchi tunaipendaYeah that assembly plant, wajerumani wali approach tz kwanza? What happened ?