Tupumzike sasa sio kwa joto hili la Dar es Salaam

Tupumzike sasa sio kwa joto hili la Dar es Salaam

Lini walikanusha mkuu
Screenshot_20240624-114216_1.jpg
 
Safisha kwanza hilo vumbi ndo uwashe feni😅😅
Mkuu wee acha tu...
Ila nilichogundua hapa mjini kuna mambo yanafanyika ili utibuliwe tuu ukufe basi..

Sasa feni mpaka kutimua vumbi hi si sifa sasa.... Ahahaha
 
Ukishaona unamuomba Mungu ujue huo ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, angekupa unachotaka kabla hujaomba.
Ila mkuu wewe una tatizo mahali
 
bora nisitishe mpango wa kununua feni.....hela ya feni natafuta mbususu
Mkuu play safe..
Ndo mana nimetoa onyo acheni mambo ya kimasihara mda huu..

Unaijua dawa ya gono wwe ni nzito kama uji.
Assume ikiingia mwilini mwako
 
Back
Top Bottom