Tupunguze kuomba hela hovyo ndoa zipo shida mizinga wanaume tunaogopa....

Tupunguze kuomba hela hovyo ndoa zipo shida mizinga wanaume tunaogopa....

Kuna hitaji la wanawake wa Tanzania kufanyiwa consultation, it makes no sense mwanamke anajipa haki ya kupata gawio kwenye hela ambayo hajashiriki kuitafuta.
 
DADA SANAMU YAKO NAJENGA HUMUHUMU JF
"Unalaumu eti Mimi ukoo niliotokea hawaolewagi kumbe shida hata sio Ukoo ,Bali tabia yako mbaya wewe ukikutana na mwanaume siku ya kwanza nikuomba hela ,amekusalimia tu ameonyesha ka interest kidogo ushaomba vocha,amekusalimia kwatabasamu kaomba namba ushajieleza tayari , amekusifia kidogo tu dada unaimba vizuri unanibariki👉 tayari ushaomba Nauli

Utaolewa nanani masikini mkubwa wewe😔 umejaa shida yaani wewe Kila mwanaume unayekutana nae nikuomba,nikuomba una miaka 35 hawakuoi kwasababu kijana anawaza nikioa hii kitu hi ni liability this one is not an asset ,wewe ukikaa na mtu ni kumweleza matatizo yako baby Sina Kodi,Sina kiwanja,Sina gesi natamani chips- salamu za Pastor Rose Shaboka kwa mabinti

#AtumediaUpdates
tutafute hela tuache kulaumu wanawake ulitaka akamuombe nani?
 
Dah Yani wanaomba Hadi pesa ya gesi?... Gesi ya 22000/=?... Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom