#COVID19 Tupuuze uzushi wa Mitandaoni, Tanzania hatuna Corona - Prof. Mchembe

Kuna wapuuzi kama maria sarungi,hilda newton na fatuma karume kutwa kuwapa watu taharuki ningependa wangekua wachina saa hii wangeshanyongwa!
 
Shida ya huu ugonjwa hauondoki na watu wa hovyo wasio na faida kwenye Jamii.
 
watu 100 ni kidogo sana. wanaweza kufa sehem tofauti na lusiwe na coverage.
japo siombei.. ila hao bado sana
 
idiot. imeandika as Mungu anasikiliza maombi ya watz tu.
kana kwamba nchi zingine haziombi.
serikali msimamo wake ni watu wachukue tahadhari. hakuna anae ombea ifike
but kunikinga lazima.
 
watu 100 ni kidogo sana. wanaweza kufa sehem tofauti na lusiwe na coverage.
japo siombei.. ila hao bado sana
Sasa corona haiko hivyo ndugu! Ile ikijikita sehemu inakula kama nzige!

Hapa dar ndio ingekuwa mfano wa hao watu 100 lakini hatuoni.
 
Professor haongei kama kasuku.
Anaongea kwa ushahidi tena wa utafiti uso na chamber ya mashaka.
Wametumwa wangapi? Wangapi wapo salama na tupo wangapi kama nchi?
Wangapi wamekufa as nw
huo utafiti kafanyia wapi? methods na publication results ziko wapi?
 
Sasa corona haiko hivyo ndugu! Ile ikijikita sehemu inakula kama nzige!

Hapa dar ndio ingekuwa mfano wa hao watu 100 lakini hatuoni.
not necessary sehem moja. depends imesambaa hadi wapi. si wote watadondoka sehem moja kwa wkt mmoja.
 
Mtaani kwenu wamakufa wangapi unao wajua kwa Corona?

Kuna vitu munashupalia sijui hata munapata faida gani!
not necessary sehem moja. depends imesambaa hadi wapi. si wote watadondoka sehem moja kwa wkt mmoja.
 
Huyo prof nilimuona Jana kwenye taarifa ya habar, wahudumu karibu wote wa hospitali walikuwa wamevaa barakoa kwakuwa wanashinda na wagonjwa masaa 24 kwahiyo wanajua mgonjwa fulani ana shida gan ila yeye prof anayeishinda ofisini kwenye viyoyozi huko wizarani ndio alikuwa hajavaa barakoa,


Yaani awamu hii huwez kutofautisha kati ya msomi na aliyeishia darasa la nne
 
uchumi wa kati + corona = politic..............tusiumizane akili.... kuna kitu kinatengenezwa hapa.............na tutakufa kwei kwei.....
 
Mtaani kwenu wamakufa wangapi unao wajua kwa Corona?

Kuna vitu munashupalia sijui hata munapata faida gani!
Siyo mtaani. Ndugu zangu 3, wamepoteza maisha kwa hii kadhia.

Shinyanga nawafahamu 3 walioondoka kwa corona. Kahama 1. Hawa ni wale nilikaribu nao, na ninaowafahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vp kuhusu idadi ya vifo vinavyotokana na changamoto ya upumuaji huko!?
 
Kuharibu huhitaji watu wengi. Mmoja tu anatosha. Ila kujenga unahitaji watu wengi wenye common objective.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani nilipokua chalii niliamini maprof ni watu wenye uelewa mkubwa sana na wapo straight kila siku zinavyoenda naona bora hata wale wasiopata Elimu wana uelewa na ufahamu mkubwa kuliko hao.
Maprofesa wa Tanzania, wengi wao ni hopeless. Ni wanafiki wakubwa. Na wengine hata ukijariliana nao unajua ni low IQ lakini kwa vioe kakaa miaka mingi darasani, anaitwa Professor. Machapisho yao mengi ni nukuu za watu wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…