Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Akili kubwa inaweza kufanya yote, hata kushika dola ila sio kujenga ofisi ikifika hapo inabidi tukasome historia...,Soma mada na mtililiko wake kabla hujakomenti.
Ila nikuulize unadhani kwa nini watu hutumia miaka 30 ya existence ya Chadema kuwa hawana ofisi?
Halafu muda huo huo hawataki kujua historia ya AA, TAA na TANU vilikotokea?
Kumbuka lazima ukumbuke Chadema imeanza kuwa na Wabunge lini?
Rudhuku wameanza kupata lini?
Je, muhimu kutaja vipaumbele vya nchi? au Chama?