Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Flexibility in time to do other things does not EASE the complexity of the study, and it might MAKE it worse. Some go for years beyond normal semester to complete their study. Do not mention that again.Unajua msuli yatima wewe?
Unajua kusoma na majukumu?
Flexibility in time to do other things does not easy the complexity of the study, and it might makes it worse. Some the go for years beyond normal semester to complete their study. Do not mention that again.
Open University kwanza 90% wanaoenda kusoma huko ni watu wanaofanya kazi na wanasomea vitu ambavyo viko related na kazi zao, anasoma kitu anacho practice kila siku kwahiyo ni nguvu sana kutoka ukiwa Empty unatoka ukiwa na uelewa mkubwa zaidi.Hapa watu wanamtolea mapovu tu mleta mada lakini kiuhalisia open watu wananunua matokeo/vyeti sana tu na uwezekano wa kutoka empty kabisa kichwani ni mkubwa mno, usicheze na msuli yatima. Si kubovu kwa 100% na Kuna products nzuri tu zinazotoka huko zile zinazojitambua, lakini ni sehemu inayotoa fursa kirahisi kwa wahuni kununua matokeo/vyeti zaidi ukilinganisha na vyuo vingine.
Nina mifano ya wadau wangu kadhaa.
Mfano mmojawapo ni ticha mmoja mdingi ni mtu wa mitungi sana 24/7 kalewa chakari na hana time ya kutulia home, yaani hata asipokunywa yeye yupo tungi alishalewa jumla.
Sasa huyo dingi wakati naanza kumfahamu kumbe alikuwa anachukua bachelor ya education, alikuwa first year. Ajabu hakuwa na PC, simu janja wala njia yoyote ya kupata materials za kujisomea wala huo muda wa kujisomea asingeweza kuwa nao. Hata kufanya mitihani kwa jinsi alivyokuwa sidhani kama alikuwa akienda.
Mzee kala mitungi weeee miaka 3 imeisha analeta cheti ni mabanda matupu na B+ za kuhesabu, ana first class! Tuliposhangaa mzee akasema siwezi kujitesa wala kufeli open university wakati nina hela. Mzee kaendelea na mitungi kapata ajali kaumia kichwani sasa ni kama chizi.
Unadhani profesa ni mmoja3m unaipata
Nice but FaqFlexibility in time to do other things does not EASE the complexity of the study, and it might MAKE it worse. Some go for years beyond normal semester to complete their study. Do not mention that again.
Umesahau UDOM, ni hela zako tu, wanafanyiwa mitihani, research.... and the likes, Chuo ni UDSM, hivyo vingine ni High School zilizochagamkaWakuu,
Nilikuwa napitia pitia CV za wabunge hapa wakuu.
Hawa ndio wabunge, ambao wana degrees na masters kutokea kwenye hicho chuo cha Open University:
- Assenga Abubakar Damian – Mbunge wa Kilombero – Bachelor of Arts in Political Science
- Innocent Bashungwa – Mbunge wa Karagwe – Masters of International Affairs (2016-2020)
- Oscar Ishengoma Kikoyo – Mbunge wa Muleba Kusini – PhD, Open University
- Ndaisaba Ruhoro – Mbunge wa Ngara – Masters in Project Management
- Flaurent Laurent Kyombo – Mbunge wa Nkenge – MBA, Open University
- Geofrey Mizengo Pinda – Mbunge wa Kavuu – Bachelor's Degree
- Sebastian Simon Kapufi – Mbunge wa Mpanda – Bachelor's in Law
- William Lukuvi – Mbunge wa Ismani – Masters in Political Science
- Davidi Kihenzile – Mbunge wa Mufindi Kusini – LLB
- Joseph Mkundi – Mbunge wa Ukerewe – MBA
Hawa ni wachache tu, naamini kuna wengi ambao wamesoma kwenye hicho chuo.
Swali langu ni kwanini wabunge wengi wamepata degrees na masters kwenye hicho chuo?
Ndio kusema kwamba hiki chuo kina hadhi kuliko UDSM au kupata degree hapo ni rahisi?
Jibu zuri sanaUlitaka waingie Darasani kila siku wakati wanashughuli nyingi?
Unajua kwa nini Open University IPO Duniani kote?
Angeelewa hili swali lisingekuwepoUnaelewa maana ya Open University?
By the way money can buy anything.
Hta UDSM ni sawa tu vyuo vingine! Elimu ya Tanzania haitofautiani. Tumewafnyia interview watoto wengi tu vyuo tofauti tofauti hakuna tofauti! wanaojiongeza wanafanya vizuri siku hizi elimu inaptikana kirahisi sana ni juhudi za mtu wala siyo chuoUmesahau UDOM, ni hela zako tu, wanafanyiwa mitihani, research.... and the likes, Chuo ni UDSM, hivyo vingine ni High School zilizochagamka
Daaah niona Musukuma nae eti kavaa kofia ya round naona kinyaa!Wakuu,
Nilikuwa napitia pitia CV za wabunge hapa wakuu.
Hawa ndio wabunge, ambao wana degrees na masters kutokea kwenye hicho chuo cha Open University:
- Assenga Abubakar Damian – Mbunge wa Kilombero – Bachelor of Arts in Political Science
- Innocent Bashungwa – Mbunge wa Karagwe – Masters of International Affairs (2016-2020)
- Oscar Ishengoma Kikoyo – Mbunge wa Muleba Kusini – PhD, Open University
- Ndaisaba Ruhoro – Mbunge wa Ngara – Masters in Project Management
- Flaurent Laurent Kyombo – Mbunge wa Nkenge – MBA, Open University
- Geofrey Mizengo Pinda – Mbunge wa Kavuu – Bachelor's Degree
- Sebastian Simon Kapufi – Mbunge wa Mpanda – Bachelor's in Law
- William Lukuvi – Mbunge wa Ismani – Masters in Political Science
- Davidi Kihenzile – Mbunge wa Mufindi Kusini – LLB
- Joseph Mkundi – Mbunge wa Ukerewe – MBA
Hawa ni wachache tu, naamini kuna wengi ambao wamesoma kwenye hicho chuo.
Swali langu ni kwanini wabunge wengi wamepata degrees na masters kwenye hicho chuo?
Ndio kusema kwamba hiki chuo kina hadhi kuliko UDSM au kupata degree hapo ni rahisi?
Vyuo vina interview ya nini?Hta UDSM ni sawa tu vyuo vingine! Elimu ya Tanzania haitofautiani. Tumewafnyia interview watoto wengi tu vyuo tofauti tofauti hakuna tofauti! wanaojiongeza wanafanya vizuri siku hizi elimu inaptikana kirahisi sana ni juhudi za mtu wala siyo chuo
Unasemaa?!?Siwatuhumu ila kwa ukata uliko mtaani sioni lecturer anaeacha million 10 mezani. Na si open tu.
Si unajua masharti yake? Inabidi usiwe na utajiri wa zaidi dollar million 10Mimi mwenyewe mwakani nataka nikapige course ya Bachelor of presidency.. 🙂 🙂.
Mweleweshe usimutukaneUna matope kichwani. Shida nini? Ingekuwa hizo degree wanapata toka secondary ambayo haina ithibati ya kutoa hiyo bachelor ndio ulalamike. Ok let say wote hizo bachelor wangezipata udcm au udom so what? Kenge wewe.