KERO Tusaidieni kupaza sauti yetu dhidi ya vitendo vya rushwa ya ngono na unyanyasaji Vyuoni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Sisi wanafunzi wa IFM tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kutokana na baadhi ya wahadhiri.

Tulipewa assignment darasani, tukafanya na kuikabidhi kwa mhadhiri husika. Hata hivyo, cha kushangaza, hadi sasa mhadhiri huyo amekataa ku-upload coursework hiyo kwenye mfumo wa matokeo, jambo ambalo tumedai limekuwa likijirudia mara kwa mara.

Tunadaiwa kuwa mhadhiri huyo amekuwa akiwataka baadhi ya wanafunzi wa kike kufanya mambo yasiyohusiana na masomo, na anapokataliwa, kundi zima huathirika kwa kunyimwa alama za coursework.

Tunaomba suala hili lichunguzwe na hatua zichukuliwe ili kulinda haki za wanafunzi na kuhakikisha tunapata mazingira salama na yenye usawa ya kujifunzia.

Wazazi wetu wanahangaika kutupatia ada na kutuwezesha kusoma, hivyo hatupaswi kuathiriwa kitaaluma kwa sababu ya vitendo visivyohusiana na masomo.

Tusaidieni kupaza sauti yetu dhidi ya vitendo vya rushwa ya ngono na unyanyasaji wa aina yoyote vyuoni, ili wanafunzi waweze kufikia malengo yao ya kitaaluma kwa haki na usawa.
 
Kuna muda tunashindwa kwan mko mstari wambele kuomba ila tunapoingia kutetea mnakuwa wakwanza kuondoka na kutuacha nyuma bila msaada katika yale tuliyoaanza hivyo ,basi inafaa jambo liwekubwa na liwafikiee wengi maumivu yenu yatawainua kutoka huko walikojificha wakingoja msaada kutoka nje
 
Sisi wanafunzi wa IFM tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kutokana na baadhi ya wahadhiri.

Tulipewa assignment darasani, tukafanya na kuikabidhi kwa mhadhiri husika. Hata hivyo, cha kushangaza, hadi sasa mhadhiri huyo amekataa ku-upload coursework hiyo kwenye mfumo wa matokeo, jambo ambalo tumedai limekuwa likijirudia mara kwa mara.

Tunadaiwa kuwa mhadhiri huyo amekuwa akiwataka baadhi ya wanafunzi wa kike kufanya mambo yasiyohusiana na masomo, na anapokataliwa, kundi zima huathirika kwa kunyimwa alama za coursework.

Tunaomba suala hili lichunguzwe na hatua zichukuliwe ili kulinda haki za wanafunzi na kuhakikisha tunapata mazingira salama na yenye usawa ya kujifunzia.

Wazazi wetu wanahangaika kutupatia ada na kutuwezesha kusoma, hivyo hatupaswi kuathiriwa kitaaluma kwa sababu ya vitendo visivyohusiana na masomo.

Tusaidieni kupaza sauti yetu dhidi ya vitendo vya rushwa ya ngono na unyanyasaji wa aina yoyote vyuoni, ili wanafunzi waweze kufikia malengo yao ya kitaaluma kwa haki na usawa.
Hili ni jambo la kukemewa na jambo la kulikomesha lakini na nyinyi angalieni mavazi mnayovaaa huko vyuoni.
 
Andamaneni mpaka kwa dean hapo, mnakwama wapi? Enzi zetu tuliandamana mpaka kwa waziri Mkuu, sasa mko karibu na mamlaka za serikali hapo mnatuomba sisi wa nanjililinji tuwasaidie kupaza sauti
 
Sisi wanafunzi wa IFM tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kutokana na baadhi ya wahadhiri.

Tulipewa assignment darasani, tukafanya na kuikabidhi kwa mhadhiri husika. Hata hivyo, cha kushangaza, hadi sasa mhadhiri huyo amekataa ku-upload coursework hiyo kwenye mfumo wa matokeo, jambo ambalo tumedai limekuwa likijirudia mara kwa mara.

Tunadaiwa kuwa mhadhiri huyo amekuwa akiwataka baadhi ya wanafunzi wa kike kufanya mambo yasiyohusiana na masomo, na anapokataliwa, kundi zima huathirika kwa kunyimwa alama za coursework.

Tunaomba suala hili lichunguzwe na hatua zichukuliwe ili kulinda haki za wanafunzi na kuhakikisha tunapata mazingira salama na yenye usawa ya kujifunzia.

Wazazi wetu wanahangaika kutupatia ada na kutuwezesha kusoma, hivyo hatupaswi kuathiriwa kitaaluma kwa sababu ya vitendo visivyohusiana na masomo.

Tusaidieni kupaza sauti yetu dhidi ya vitendo vya rushwa ya ngono na unyanyasaji wa aina yoyote vyuoni, ili wanafunzi waweze kufikia malengo yao ya kitaaluma kwa haki na usawa.
Sasa huoni kama hiyo mhadhiri ameshawafaham!. Mtanyooka zaidi.
Kazeni. Vijana wengi vyuoni saivi ni failures....
Ndoa mana mnateseka sana
 
Hili tatizo la rushwa ya ngono vyuoni linahitaji upembuzi yakinifu ili kufanikiwa kulikomesha. Kinyume na hapo malalamiko hayatakuja yaishe.

1. Wahadhiri wengi wana tabia ya kujigeuza kuwa miungu watu (na hasa kwenye vyuo vya serikali). Hivyo wanajiona wana haki ya kulazimisha chochote kile wanachokitaka kutoka kwa wanafunzi (hasa wale wa kike wenye mwonekano mzuri).

2. Wanafunzi nao wa kike (baadhi yao wamekuwa wakitengeneza wao wenyewe mazingira ya kutaka upendeleo wa kitaaluma kutoka kwa hao wahadhiri)!

3. Baadhi ya wanafunzi vyuoni hawajitumi vile ipasavyo! Na mhadhiri akichukua hatua, wanakimbilia kwenye kivuli cha kutakiwa kutoa rushwa ya ngono!

Ndiyo maana nikasema kunahitajika upembuzi yakinifu. Tatizo ni kweli lipo. Namna gani ya kulikomesha? Zinatakiwa zichukuliwe hatua madhubuti.
 
Sisi wanafunzi wa IFM tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kutokana na baadhi ya wahadhiri.

Tulipewa assignment darasani, tukafanya na kuikabidhi kwa mhadhiri husika. Hata hivyo, cha kushangaza, hadi sasa mhadhiri huyo amekataa ku-upload coursework hiyo kwenye mfumo wa matokeo, jambo ambalo tumedai limekuwa likijirudia mara kwa mara.

Tunadaiwa kuwa mhadhiri huyo amekuwa akiwataka baadhi ya wanafunzi wa kike kufanya mambo yasiyohusiana na masomo, na anapokataliwa, kundi zima huathirika kwa kunyimwa alama za coursework.

Tunaomba suala hili lichunguzwe na hatua zichukuliwe ili kulinda haki za wanafunzi na kuhakikisha tunapata mazingira salama na yenye usawa ya kujifunzia.

Wazazi wetu wanahangaika kutupatia ada na kutuwezesha kusoma, hivyo hatupaswi kuathiriwa kitaaluma kwa sababu ya vitendo visivyohusiana na masomo.

Tusaidieni kupaza sauti yetu dhidi ya vitendo vya rushwa ya ngono na unyanyasaji wa aina yoyote vyuoni, ili wanafunzi waweze kufikia malengo yao ya kitaaluma kwa haki na usawa.
Swali vyuo vikuu tanzania hakunaga uongozi wala mfumo sahihi wa uongozi ? Kwa nini vyuo vyetu ndiyo kielelezo cha kushindwa kutatua hata matatizo madogo tena yaliyo very open ...kama hivi ndivyo vilivyo vyuo na wasomi wetu tutalajie kuzalisha Maanirhi wa akili kuanzia maprofesa ...vyuoni kumekuwa na mambo ya kipumbavu kuliko shule za sekondari tena hakuna ufumbuzi wa kisomi unaopatikana kutoka kwa maprofesa wala wanafunzi ni upumbavu kila kukicha ....MFUMO MZIMA WA UENDESHAJI WA CHUO NA WAKIUONGOZI NA WAKIMITIHANI UNATAKIWA KUSUKWA UPYA .....
 
Rushwa ya ngono ni ushamb, unakuta mhadhiri ana mke na watoto kabisa .
Kumbuka hata hao wanachuo ni watu wazima wanaelewa wanachokifanya. Ukifuatilia hoja kama hizi zinawaangushia mzigo wahadhiri ila underpinnings zake siyo hivyo, intellectual unaombwa ngono halafu unaomba usaidiwe kupaza sauti wakati Chuo kimejaa "Gender Unit"....inafedhehesha sana hii.

Mnataka kutuambia "knowing the good does not necessarily guarantee one to do the good"..code of conducts, code of ethics vipi? ...Tuseme Chuo hakina mamlaka ya nidhamu au?..

Au ni "Eiai"
Mnafahamu kuwa Jamii huku tunawategemea mpaze sauti halafu nyie mnataka tuwalipie ada na kuwapazia sauti wasomi kweli? Ni ipo tofauti yenu kama intellectuals na sisi Wazee wa Nyamtengera Ifurukutya ndezu.

Je! Mnataka tuwsaidie mpaka kufikiria kwa akili za kibinadamu nyie mtumie akili mnemba?...inatafakarisha sana hii.
 
Hili ni jambo la kukemewa na jambo la kulikomesha lakini na nyinyi angalieni mavazi mnayovaaa huko vyuoni.
wazingatie hapo kweny mavaz, kwan mabint wa chuo weng wao huvaa kama wahudum wa bar/club.

Malecture lazma tu wataingia kwenye wazo la ngono na kuitumia nafas yake.
 
Swali vyuo vikuu tanzania hakunaga uongozi wala mfumo sahihi wa uongozi ? Kwa nini vyuo vyetu ndiyo kielelezo cha kushindwa kutatua hata matatizo madogo tena yaliyo very open ...kama hivi ndivyo vilivyo vyuo na wasomi wetu tutalajie kuzalisha Maanirhi wa akili kuanzia maprofesa ...vyuoni kumekuwa na mambo ya kipumbavu kuliko shule za sekondari tena hakuna ufumbuzi wa kisomi unaopatikana kutoka kwa maprofesa wala wanafunzi ni upumbavu kila kukicha ....MFUMO MZIMA WA UENDESHAJI WA CHUO NA WAKIUONGOZI NA WAKIMITIHANI UNATAKIWA KUSUKWA UPYA .....
NAKAZIA HAPO
 
Aisee dawa ya malecture wa hivyo ni kumtegeshea

Ingefaa huyo Mwalimu atajwe jina ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi yake.

Siku hizi PCCB ina warembo wengi kwaajili ya kuwanasa watu wa hivyo

Anachomekwa katikati yenu Kisha mtego unamnasa
Inawezekana vipi kunaswa kwenye mtego wakati wote ni watu wazima
 
Back
Top Bottom