A
Hili ni jambo la kukemewa na jambo la kulikomesha lakini na nyinyi angalieni mavazi mnayovaaa huko vyuoni.Sisi wanafunzi wa IFM tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kutokana na baadhi ya wahadhiri.
Tulipewa assignment darasani, tukafanya na kuikabidhi kwa mhadhiri husika. Hata hivyo, cha kushangaza, hadi sasa mhadhiri huyo amekataa ku-upload coursework hiyo kwenye mfumo wa matokeo, jambo ambalo tumedai limekuwa likijirudia mara kwa mara.
Tunadaiwa kuwa mhadhiri huyo amekuwa akiwataka baadhi ya wanafunzi wa kike kufanya mambo yasiyohusiana na masomo, na anapokataliwa, kundi zima huathirika kwa kunyimwa alama za coursework.
Tunaomba suala hili lichunguzwe na hatua zichukuliwe ili kulinda haki za wanafunzi na kuhakikisha tunapata mazingira salama na yenye usawa ya kujifunzia.
Wazazi wetu wanahangaika kutupatia ada na kutuwezesha kusoma, hivyo hatupaswi kuathiriwa kitaaluma kwa sababu ya vitendo visivyohusiana na masomo.
Tusaidieni kupaza sauti yetu dhidi ya vitendo vya rushwa ya ngono na unyanyasaji wa aina yoyote vyuoni, ili wanafunzi waweze kufikia malengo yao ya kitaaluma kwa haki na usawa.
Andamaneni mpaka kwa dean hapo, mnakwama wapi? Enzi zetu tuliandamana mpaka kwa waziri Mkuu, sasa mko karibu na mamlaka za serikali hapo mnatuomba sisi wa nanjililinji tuwasaidie kupaza sautiSisi wanafunzi wa IFM tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kutokana na baadhi ya wahadhiri.
Tulipewa assignment darasani, tukafanya na kuikabidhi kwa mhadhiri husika. Hata hivyo, cha kushangaza, hadi sasa mhadhiri huyo amekataa ku-upload coursework hiyo kwenye mfumo wa matokeo, jambo ambalo tumedai limekuwa likijirudia mara kwa mara.
Tunadaiwa kuwa mhadhiri huyo amekuwa akiwataka baadhi ya wanafunzi wa kike kufanya mambo yasiyohusiana na masomo, na anapokataliwa, kundi zima huathirika kwa kunyimwa alama za coursework.
Tunaomba suala hili lichunguzwe na hatua zichukuliwe ili kulinda haki za wanafunzi na kuhakikisha tunapata mazingira salama na yenye usawa ya kujifunzia.
Wazazi wetu wanahangaika kutupatia ada na kutuwezesha kusoma, hivyo hatupaswi kuathiriwa kitaaluma kwa sababu ya vitendo visivyohusiana na masomo.
Tusaidieni kupaza sauti yetu dhidi ya vitendo vya rushwa ya ngono na unyanyasaji wa aina yoyote vyuoni, ili wanafunzi waweze kufikia malengo yao ya kitaaluma kwa haki na usawa.
Sasa huoni kama hiyo mhadhiri ameshawafaham!. Mtanyooka zaidi.Sisi wanafunzi wa IFM tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kutokana na baadhi ya wahadhiri.
Tulipewa assignment darasani, tukafanya na kuikabidhi kwa mhadhiri husika. Hata hivyo, cha kushangaza, hadi sasa mhadhiri huyo amekataa ku-upload coursework hiyo kwenye mfumo wa matokeo, jambo ambalo tumedai limekuwa likijirudia mara kwa mara.
Tunadaiwa kuwa mhadhiri huyo amekuwa akiwataka baadhi ya wanafunzi wa kike kufanya mambo yasiyohusiana na masomo, na anapokataliwa, kundi zima huathirika kwa kunyimwa alama za coursework.
Tunaomba suala hili lichunguzwe na hatua zichukuliwe ili kulinda haki za wanafunzi na kuhakikisha tunapata mazingira salama na yenye usawa ya kujifunzia.
Wazazi wetu wanahangaika kutupatia ada na kutuwezesha kusoma, hivyo hatupaswi kuathiriwa kitaaluma kwa sababu ya vitendo visivyohusiana na masomo.
Tusaidieni kupaza sauti yetu dhidi ya vitendo vya rushwa ya ngono na unyanyasaji wa aina yoyote vyuoni, ili wanafunzi waweze kufikia malengo yao ya kitaaluma kwa haki na usawa.
Swali vyuo vikuu tanzania hakunaga uongozi wala mfumo sahihi wa uongozi ? Kwa nini vyuo vyetu ndiyo kielelezo cha kushindwa kutatua hata matatizo madogo tena yaliyo very open ...kama hivi ndivyo vilivyo vyuo na wasomi wetu tutalajie kuzalisha Maanirhi wa akili kuanzia maprofesa ...vyuoni kumekuwa na mambo ya kipumbavu kuliko shule za sekondari tena hakuna ufumbuzi wa kisomi unaopatikana kutoka kwa maprofesa wala wanafunzi ni upumbavu kila kukicha ....MFUMO MZIMA WA UENDESHAJI WA CHUO NA WAKIUONGOZI NA WAKIMITIHANI UNATAKIWA KUSUKWA UPYA .....Sisi wanafunzi wa IFM tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kutokana na baadhi ya wahadhiri.
Tulipewa assignment darasani, tukafanya na kuikabidhi kwa mhadhiri husika. Hata hivyo, cha kushangaza, hadi sasa mhadhiri huyo amekataa ku-upload coursework hiyo kwenye mfumo wa matokeo, jambo ambalo tumedai limekuwa likijirudia mara kwa mara.
Tunadaiwa kuwa mhadhiri huyo amekuwa akiwataka baadhi ya wanafunzi wa kike kufanya mambo yasiyohusiana na masomo, na anapokataliwa, kundi zima huathirika kwa kunyimwa alama za coursework.
Tunaomba suala hili lichunguzwe na hatua zichukuliwe ili kulinda haki za wanafunzi na kuhakikisha tunapata mazingira salama na yenye usawa ya kujifunzia.
Wazazi wetu wanahangaika kutupatia ada na kutuwezesha kusoma, hivyo hatupaswi kuathiriwa kitaaluma kwa sababu ya vitendo visivyohusiana na masomo.
Tusaidieni kupaza sauti yetu dhidi ya vitendo vya rushwa ya ngono na unyanyasaji wa aina yoyote vyuoni, ili wanafunzi waweze kufikia malengo yao ya kitaaluma kwa haki na usawa.
Kumbuka hata hao wanachuo ni watu wazima wanaelewa wanachokifanya. Ukifuatilia hoja kama hizi zinawaangushia mzigo wahadhiri ila underpinnings zake siyo hivyo, intellectual unaombwa ngono halafu unaomba usaidiwe kupaza sauti wakati Chuo kimejaa "Gender Unit"....inafedhehesha sana hii.Rushwa ya ngono ni ushamb, unakuta mhadhiri ana mke na watoto kabisa .
wazingatie hapo kweny mavaz, kwan mabint wa chuo weng wao huvaa kama wahudum wa bar/club.Hili ni jambo la kukemewa na jambo la kulikomesha lakini na nyinyi angalieni mavazi mnayovaaa huko vyuoni.
Well saidwazingatie hapo kweny mavaz, kwan mabint wa chuo weng wao huvaa kama wahudum wa bar/club.
Malecture lazma tu wataingia kwenye wazo la ngono na kuitumia nafas yake.
NAKAZIA HAPOSwali vyuo vikuu tanzania hakunaga uongozi wala mfumo sahihi wa uongozi ? Kwa nini vyuo vyetu ndiyo kielelezo cha kushindwa kutatua hata matatizo madogo tena yaliyo very open ...kama hivi ndivyo vilivyo vyuo na wasomi wetu tutalajie kuzalisha Maanirhi wa akili kuanzia maprofesa ...vyuoni kumekuwa na mambo ya kipumbavu kuliko shule za sekondari tena hakuna ufumbuzi wa kisomi unaopatikana kutoka kwa maprofesa wala wanafunzi ni upumbavu kila kukicha ....MFUMO MZIMA WA UENDESHAJI WA CHUO NA WAKIUONGOZI NA WAKIMITIHANI UNATAKIWA KUSUKWA UPYA .....
Aisee dawa ya malecture wa hivyo ni kumtegeshea
Inawezekana vipi kunaswa kwenye mtego wakati wote ni watu wazimaIngefaa huyo Mwalimu atajwe jina ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi yake.
Siku hizi PCCB ina warembo wengi kwaajili ya kuwanasa watu wa hivyo
Anachomekwa katikati yenu Kisha mtego unamnasa
Naunga mkono unapokaziaNAKAZIA HAPO