KERO Tusaidieni kupaza sauti yetu dhidi ya vitendo vya rushwa ya ngono na unyanyasaji Vyuoni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Uko sahihi.
 
Tulipewa dodoso mwaka "X" pale Udsm la kutafuta taarifa kama hizo na nilichokigundua ni kuwa unapoona upepo wa hivyo elewa kuna dots zinaunganishwa kuchora mstari fulani.
.........inatafakarisha!!..

Ili? Kwamba?
 
Kuna lijinga lilikuwa hapo sjui kama bado lipo almanusura tule sup kisa dada mmoja ndani ya grupu hamtaki dada aliishia kula sup.....

Hata muonekano ulikuwa zero kama kifutu shwainiii
 
Sasa una maana gani umeleta kero kwenye umma kutafuta msaada. Mtuhumiwa hajaainishwa ni nani? Unaotaka wakusaidie wanaanzia wapi?
 
Wataje kwa majina hao wanaotoka ngono kwa lazima. Unawaficha wanini?
 
Sio IFM tu ni karibu vyuo vyote vya serikali kuna hizo tabia...
 
wazingatie hapo kweny mavaz, kwan mabint wa chuo weng wao huvaa kama wahudum wa bar/club.

Malecture lazma tu wataingia kwenye wazo la ngono na kuitumia nafas yake.
Lakini sio kwa kudhulumu haki za wanafunzi wengine kwa kigezo cha rushwa ya ngono. Huu ni ujinga.

Mhadhiri awe chachu ya mabadiliko na suluhisho kwa matatizo,, yeye anachochea matatizo. Hovyo sana

Unawadhulumu marks vijana kwa sababu kwenye kundi lao kunabint kakukataa. Sijui watu wana mioyo ya ajabu kiasi gani!
 
Zama hizi na mitekelonojia na nyie ma GenZ ndio wenyewe mnashindwa kukusanya ushahidi alafu mnatulia akianza vituko mnamuacha hadi afikie kilele cha ujinga mnaungana kumlipua.
 
Zama hizi na mitekelonojia na nyie ma GenZ ndio wenyewe mnashindwa kukusanya ushahidi alafu mnatulia akianza vituko mnamuacha hadi afikie kilele cha ujinga mnaungana kumlipua.
Kama hawajakuelewa hapa, sidhani kama kuna maelezo ,mengine rahisi ya haya.
 
Nimekumbuka mbali aisee,enzi hizo niko mwaka wa mwisho halafu lile libaba linalingana na baba yangu liko busy kunambia nakupenda nakupenda,nashukuru nilipata mtu wa kunisaidia nikavuka salama. Ila haya mambo yapo na yanaumiza sanaa siku wewe ndo ukiwa mhanga.
 
Hii story haija balance, yeye Muhadhiri anasemaje?
 
kwa kweli inasikitisha kuona wasom ndo wanafanya upuuzi na weng ni waathirika wa VVU.

hili suara kila mwaka wanafunz hulalamika ila selikari ipo kmy tu.

na kuna mabint vilaza pia huwaanza walimu wao ili kuwatunuku tunda ili wafaulu.
 
kwa kweli inasikitisha kuona wasom ndo wanafanya upuuzi na weng ni waathirika wa VVU.

hili suara kila mwaka wanafunz hulalamika ila selikari ipo kmy tu.

na kuna mabint vilaza pia huwaanza walimu wao ili kuwatunuku tunda ili wafaulu.
Bongo kila sekta wahuni wapo. Wahadhiri wahuniwahuni wapo kila chuo.

Kuna wanawake wengi wapo kwenye nyazifa za juu kama deans, VC nk ila nao wamekuwa kimya. Huwa inanipa mashaka huenda nao vyeo vyao walipata kwa namna wanazijua wao.

Huu ujinga wa rushwa ya ngono vyuoni unalindwa mpaka na maprof, wanalindana wao kwa wao kiasi kwamba wengi huishia kuangalia tu.

Ilikuwa miongoni mwa ajenda kubwa za SSH sijui naye alekwama wapi. Nilidhani angesaidia kukomesha haya mambo.
 
Inawezekana vipi kunaswa kwenye mtego wakati wote ni watu wazima
Ni kupitia huo mtego hapo kwenye maelezo yangu, obviously kutakuwa na messages za simu ama records ambazo huyo Mwalimu atakuwa anaonekana kuomba hiyo rushwa ya ngono

Wakijipanga vizuri watamdaka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…