Prince Luanda JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 3,477 Reaction score 5,283 Sep 2, 2026 #41 Grahams said: Ingefaa huyo Mwalimu atajwe jina ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi yake. Siku hizi PCCB ina warembo wengi kwaajili ya kuwanasa watu wa hivyo Anachomekwa katikati yenu Kisha mtego unamnasa Click to expand... π π π paragraph ya pili daah
Grahams said: Ingefaa huyo Mwalimu atajwe jina ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi yake. Siku hizi PCCB ina warembo wengi kwaajili ya kuwanasa watu wa hivyo Anachomekwa katikati yenu Kisha mtego unamnasa Click to expand... π π π paragraph ya pili daah
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 21,492 Reaction score 65,712 Sep 2, 2026 #42 Prince Luanda said: π π π paragraph ya pili daah Click to expand... Umewahi kuwa mhanga nao Nini Mkuu π Nimekutana nao sana hao watu, hata Idara ya Usalama inao mabinti wengi visu miaka hii, tena wako 20 hadi 35 hapo π€ͺ
Prince Luanda said: π π π paragraph ya pili daah Click to expand... Umewahi kuwa mhanga nao Nini Mkuu π Nimekutana nao sana hao watu, hata Idara ya Usalama inao mabinti wengi visu miaka hii, tena wako 20 hadi 35 hapo π€ͺ
M migomigokwetu Senior Member Joined Sep 27, 2026 Posts 106 Reaction score 70 Sep 27, 2026 #43 Mwezi unaisha, ameacha??? Mimi wangu wa Chuo kikuu huria namwangushia jumba bovu kesho, watajua wenyewe wateteane, wasiteteana, sina muda nao tena
Mwezi unaisha, ameacha??? Mimi wangu wa Chuo kikuu huria namwangushia jumba bovu kesho, watajua wenyewe wateteane, wasiteteana, sina muda nao tena