Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Hawawezi kusema, ni hisia za chuki tu zilizowatawala.Ungetuambia kuna vinini ame/nafanya.. wengine kukomenti kwa hisia hatuwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi kusema, ni hisia za chuki tu zilizowatawala.Ungetuambia kuna vinini ame/nafanya.. wengine kukomenti kwa hisia hatuwezi
Kama ilivyo kwa nyie haters wake ambao hampati usingizi bila kumtukana jk. Aliyesema jk ana akili za kuzidi wote nani?!!!! Si hatujadili akili hapa, isitoshe nyie na hao watu wenu muwasifiao kutwa kucha mna akili gani?!!!!Kuna watu wake humu ukimgusa tu yeye na samia utaoga matusi. Wao wanaona kikwete ndo kwao ana akili.
Wewe ni pi...........mbi?Ebu tutoleeni upumbavu hapa, ni rais gani aliye dhibiti mafisadi ndani ya nchii?
Huyo mungu wenu jiwe si ndo alimfukuza CAG baada ya kufichua wizi wa tirion 1.5 serikalini ,na unaweza kunitajia fisadi yeyote aliye fungwa jera na kufirisiwa kipindi cha jiwe?
Kipindi cha jiwe alipo kuwa anakoroga mambo kikwete alipo kuwa anajaribu kukosoa nyinyi machawa wa jiwe si mlikuwa mnamshambulia mitandaoni na kumuambia akae kimia maana muda wake umeisha sasa mnataka aongee nini tena?
Mkapa kuwa na uchungu na Tanganyika yangu hapana nakataa kwa sauti. Aliuza NBC, iliyokuwa inafanya kazi kwa faida na kuuza mashirika kadhaa. Nyerere peke yake ndiye Rais aliyekuwa na uchungu na nchi hii, amestaafu na mshahara wa Rais tu, hata watoto wake wote wamesoma KayumbaRaisi pekee aliye kuwa na machungu ni mkapa, japo nae hakuwa perfect ila angalau ali umia.
Tayari ugomvi umeanzaKama ilivyo kwa nyie haters wake ambao hampati usingizi bila kumtukana jk. Aliyesema jk ana akili za kuzidi wote nani?!!!! Si hatujadili akili hapa, isitoshe nyie na hao watu wenu muwasifiao kutwa kucha mna akili gani?!!!!
Dhana ya ufisadi ishapitwa na wakati. Haipo kwa Sasa kwa sababu Kila mtu anajua mignon ya uwajibikaji kitaasisi ilivyo migumu.Bibie anatii kila asemacho mkwere hata kama ni cha kipuuzi..
Anachokifanya bibie ni maelekezo ya mkwere kwa manufaa binafsi ya mkwere na watu wake, serikali imejaa viongozi mafisadi, mkwere na bibi hawawezi kuondoa ufisadi serikalini kwa sababu nao ni wale wale.
Rais fisadi hawezi kudhibiti mafisadi
Nyerere huyo aliye tapeliwa na muhindi aliye kimbilia uingereza?Mkapa kuwa na uchungu na Tanganyika yangu hapana nakataa kwa sauti. Aliuza NBC, iliyokuwa inafanya kazi kwa faida na kuuza mashirika kadhaa. Nyerere peke yake ndiye Rais aliyekuwa na uchungu na nchi hii, amestaafu na mshahara wa Rais tu, hata watoto wake wote wamesoma Kayumba
Hata US kuna system ndio inaendesha nchi huwezi cheza nao otherwise hukai kileleni,that stuff is everywhereThe man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.
Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania
Umewakosea Sana Watanzania haiwezekani kabisa kila kitu unahusishwa wewe!!
Why unatumia nguvu nyingi kuhujumu umma kwa maslahi yako binafsi?
Wajukuu wetu warithi nini Kama kila kitu kinauzwa na wewe upo kimya unapata manufaa gani na maslahi gani?.
Rais Mustaafu pekee aliyebaki badala ukemee uhuni na wahujumu uchumi wa nchi wewe kutwa upo na Rais tu kwenye kila Jambo hata Kama anavuruga nchi?
Jk jifunze kwa mwenzako Uhuru Kenyatta pamoja na kwamba ni bosi ni tajiri kweli ila bado serikali ya ruto anaikosoa waziwazi bila kupindisha maneno
Jk unakwama wapi? Nyerere alikemea Sana utawala wa Mwinyi Mkapa why wewe kimya ??
Ulimkosoa Magufuli pale maslahi yako yalivyoguswa lakini sasahivi nchi inaanguka upo tu unashangaa mpaka watu waanze kugawana mbao?
Umeshindwa kusoma upepo kwamba wananchi wa nchi hii hawatamchagua kabisa Samia kwanini ujamshauri apumzike?
Jk wewe ni tatizo kwa Sasa pengine kuliko hata Samia mwenyewe!!
Na mtaanguka wote!!
Raisi ndio yupo na yeyeRais Mustaafu pekee aliyebaki badala ukemee uhuni na wahujumu uchumi wa nchi wewe kutwa upo na Rais tu kwenye kila Jambo hata Kama anavuruga nchi?
Mwamba hapa umeongea ya moyoni kabisa 😃Hakuna mtu poa kama kikwete. Mnamsingizia tu. Kosa moja la kikwete ni kumsaliti Lowasa baas.
Ktk tawala 5 zilizopita ni utawala upi ulioweka rekodi kwa kuwa na skedo kubwa kubwa za ufisadi?Mkuu sio kweli, wewe una chuki naye bila sababu za msingi, unafuata mkumbo tu, bendera fuata upepo!!!
JK asile pensheni yake halali kisa utamuita mchwa, wewe vipi?.
Sema kwa kutaja hapa ndani ya 10 hii JK kasaini mkataba gani wa serikali???
Tuambie Mkuu!!!
Aisee! Ww ni kiboko! Halafu ww ni mkweli sana!The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.
Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania
Umewakosea Sana Watanzania haiwezekani kabisa kila kitu unahusishwa wewe!!
Why unatumia nguvu nyingi kuhujumu umma kwa maslahi yako binafsi?
Wajukuu wetu warithi nini Kama kila kitu kinauzwa na wewe upo kimya unapata manufaa gani na maslahi gani?.
Rais Mustaafu pekee aliyebaki badala ukemee uhuni na wahujumu uchumi wa nchi wewe kutwa upo na Rais tu kwenye kila Jambo hata Kama anavuruga nchi?
Jk jifunze kwa mwenzako Uhuru Kenyatta pamoja na kwamba ni bosi ni tajiri kweli ila bado serikali ya ruto anaikosoa waziwazi bila kupindisha maneno
Jk unakwama wapi? Nyerere alikemea Sana utawala wa Mwinyi Mkapa why wewe kimya ??
Ulimkosoa Magufuli pale maslahi yako yalivyoguswa lakini sasahivi nchi inaanguka upo tu unashangaa mpaka watu waanze kugawana mbao?
Umeshindwa kusoma upepo kwamba wananchi wa nchi hii hawatamchagua kabisa Samia kwanini ujamshauri apumzike?
Jk wewe ni tatizo kwa Sasa pengine kuliko hata Samia mwenyewe!!
Na mtaanguka wote!!
Kongole Mkuu kwa kuona hili. Mimi mwenyewe nimepata fursa ya kusoma na ajira kipindi Cha Jakaya. Nikiangalia vijana wengi wahitimu baada ya yeye kuondoka madarakani waliopo mitaani wanauza matunda au machinga nasikitika sana! Mabinti wapo wanajiuza!Haya ndio maeazo ya misukule ya Lissu, Kama Taifa tuna shida sana.
80% ya watumishi wa leo tena watoto wa maskini wameajiriwa kipindi cha Kikwete, watoto wengi maskini wamepata fursa ya kusoma kipindi cha kikwete.
Kikwete ni stateman, haiwezi kujifungia ndani, hata Mwl. Nyerere hakujifungia ndani na watu walikuwa wanasema hivi hivi kipindi cha Mwinyi kuwa inchi inaendeshwa na Mwl.
Ni mtu msukule pekee ambaye anaweza kujaribu ku undermine nafasi ya Rais.
Jiwe ndiye alimrudisha Rostam baada ya JK kumuondoa yeye na rafiki yake Lowasa kwenye system. Ni kweli walimsaidia JK kuingia madarakani lakini baadae aliwajua ni tatizo kwa nchi. Akwaondoa kiaina. Rostam alitoroka nchi.Yeye ndiye dalali mkuu na ndugu yake rostam na kinana.na vijana wake makamba Bashe ridhiwan
Kwani dereva mwenye leseni ya gari Tanzania kwa Sasa ni nani? Kwa Nini alaumiwe dereva aliyestaafu na yupo nyumbani kwake akifanya kazi tofauti na udereva? Tuache kugeuza uji kuwa mboga ya ugali.wote mnaomkandia JK hamjielewi, huyo mwamba alipaswa kuongoza Tz mpaka umauti wake
Yes ulishapitwa na wakati ila mafisadi hawajapitwa na wakati na wapoDhana ya ufisadi ishapitwa na wakati.