Pre GE2025 Tuseme bila unafiki: Kikwete ni tatizo kwa sasa nchini kuliko wakati wowote

Pre GE2025 Tuseme bila unafiki: Kikwete ni tatizo kwa sasa nchini kuliko wakati wowote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bibie anatii kila asemacho mkwere hata kama ni cha kipuuzi..

Anachokifanya bibie ni maelekezo ya mkwere kwa manufaa binafsi ya mkwere na watu wake, serikali imejaa viongozi mafisadi, mkwere na bibi hawawezi kuondoa ufisadi serikalini kwa sababu nao ni wale wale.

Rais fisadi hawezi kudhibiti mafisadi
Nisaidie kuelewa kitu mkuu, kama anafanya kwa manufaa ya mkwere, sasa mbona amewapiga chini watu wa mkwere kina marope na mwenzake?
 
Nyinyi ndo mtalipia hayo maneno ya uongo mnayo mzushia kikwete mbele ya mungu wenu muda ukifika maana mnamzushia maneno ambayo mkiambiwa mlete udhibitisho mnabaki mnabungaa.
Mungu hafanyi kazi zake kwa mtazamo wa chuki binafisi kama ww.
Ndio maana huyo unaye mchukia anaishi na unaye mpenda amelala kaburini.
Unaweza kuta huyo kikwete ana thamani zaidi ya mara 10000 yako mbele ya mungu ambaye ww upo unajihesabia haki mbele ya haki.
Tuache chuki ,chuki hukaa kifuani mwa mpumbavu.
Nonsense
 
Nisaidie kuelewa kitu mkuu, kama anafanya kwa manufaa ya mkwere, sasa mbona amewapiga chini watu wa mkwere kina marope na mwenzake?
Acha kudanganyika na drama za kisiasa kwa wanaojuana kwa vilemba....

Bibie akimpiga chini Ridhiwani ndio ndipo atakuwa kawapiga watu wa mkwere..

Hao kina marope si lolote kwa mkwere.
 
Back
Top Bottom