SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Eh, ndiyo amezidi kiherehere🤔 🤔 🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eh, ndiyo amezidi kiherehere🤔 🤔 🤔
UNATAKA AJIKEMEE?The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.
Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania
Umewakosea Sana Watanzania haiwezekani kabisa kila kitu unahusishwa wewe!!
Why unatumia nguvu nyingi kuhujumu umma kwa maslahi yako binafsi?
Wajukuu wetu warithi nini Kama kila kitu kinauzwa na wewe upo kimya unapata manufaa gani na maslahi gani?.
Rais Mustaafu pekee aliyebaki badala ukemee uhuni na wahujumu uchumi wa nchi wewe kutwa upo na Rais tu kwenye kila Jambo hata Kama anavuruga nchi?
Jk jifunze kwa mwenzako Uhuru Kenyatta pamoja na kwamba ni bosi ni tajiri kweli ila bado serikali ya ruto anaikosoa waziwazi bila kupindisha maneno
Jk unakwama wapi? Nyerere alikemea Sana utawala wa Mwinyi Mkapa why wewe kimya ??
Ulimkosoa Magufuli pale maslahi yako yalivyoguswa lakini sasahivi nchi inaanguka upo tu unashangaa mpaka watu waanze kugawana mbao?
Umeshindwa kusoma upepo kwamba wananchi wa nchi hii hawatamchagua kabisa Samia kwanini ujamshauri apumzike?
Jk wewe ni tatizo kwa Sasa pengine kuliko hata Samia mwenyewe!!
Na mtaanguka wote!!
Unaonaje hizo hasira ukaenda kumalizia chumbani kwa dada yako usiku wa manane ?Itoshe kusema ww ni mpumbavu sina haja ya kupoteza muda kuendelea kujadiliana na ww.
Unahitaji uthibitisho gani zaidi ya huu wa kumuweka Samia kuwa mgombea pekee wa CCM?Mkuu thibitisha hili
Nyinyi ndo mtalipia hayo maneno ya uongo mnayo mzushia kikwete mbele ya mungu wenu muda ukifika maana mnamzushia maneno ambayo mkiambiwa mlete udhibitisho mnabaki mnabungaa.Sema uwezavyo,tuite majina utakayo ila mwisho wa yote utafika. Na atawajibika Kwa yote aliyo na anayotenda.
Ulitaka apinge ili ukuzwe uanachama kama yule mzeze wa Arusha sijui?Sasa ndio aunge mkono ujinga wa kumpitisha huyu Mama agombee tena uraisi?
Acha ushogaNatamani kupakwa mafuta na mwanaume rijali mchana kweupe anikune kalio.
huwa najiuliza Mungu mwenye haki anayaona kwele haya maovu tunayotendewa watanganyika? Hivi kweli amerizika na kuwaacha watesi wetu wazidi kutuhujumu kiasi hiki? Ajabu hata viongozi wa dini nao wanaunga mkono serikali dhalimu. Nadhan ni vema tungefanya maombi na dua ili kulikomboa taifa letu Mungu atuletee kiongozi atakaerejesha na kulinda rasilimali za tanganyika. Mungu ibariki tanganyika.The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.
Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania
Umewakosea Sana Watanzania haiwezekani kabisa kila kitu unahusishwa wewe!!
Why unatumia nguvu nyingi kuhujumu umma kwa maslahi yako binafsi?
Wajukuu wetu warithi nini Kama kila kitu kinauzwa na wewe upo kimya unapata manufaa gani na maslahi gani?.
Rais Mustaafu pekee aliyebaki badala ukemee uhuni na wahujumu uchumi wa nchi wewe kutwa upo na Rais tu kwenye kila Jambo hata Kama anavuruga nchi?
Jk jifunze kwa mwenzako Uhuru Kenyatta pamoja na kwamba ni bosi ni tajiri kweli ila bado serikali ya ruto anaikosoa waziwazi bila kupindisha maneno
Jk unakwama wapi? Nyerere alikemea Sana utawala wa Mwinyi Mkapa why wewe kimya ??
Ulimkosoa Magufuli pale maslahi yako yalivyoguswa lakini sasahivi nchi inaanguka upo tu unashangaa mpaka watu waanze kugawana mbao?
Umeshindwa kusoma upepo kwamba wananchi wa nchi hii hawatamchagua kabisa Samia kwanini ujamshauri apumzike?
Jk wewe ni tatizo kwa Sasa pengine kuliko hata Samia mwenyewe!!
Na mtaanguka wote!!
Hata ww hapo ulipo una rundo la madhambi na huyo Mungu hajawahi kukufanya kitu kibaya.huwa najiuliza Mungu mwenye haki anayaona kwele haya maovu tunayotendewa watanganyika? Hivi kweli amerizika na kuwaacha watesi wetu wazidi kutuhujumu kiasi hiki? Ajabu hata viongozi wa dini nao wanaunga mkono serikali dhalimu. Nadhan ni vema tungefanya maombi na dua ili kulikomboa taifa letu Mungu atuletee kiongozi atakaerejesha na kulinda rasilimali za tanganyika. Mungu ibariki tanganyika.
Aongea kwa kujiamini baada ya kuwapukutisha wenzie waliokuwa kizingiti kufanya mawizi yake.. hakuna atayeishi milele..naye atafukiwa tani nyingi za mchanga..Tumeshaambiwa wachawi walishakufa, ngoja tuone wasio watakavyoishi milele
Yupo kama Firigisi,nyama nje,ngozi ndani🤣🤣🤣🤣Mama kajiteua mkuu na kikwete asingeweza kupinga! Upingaji wake utauona soon huyo mzee amebobea sanaa kwenye movie za kikorea mda ni mwalimu mzuri sana
Msiwe wachoyo mumdokeze mleta mada kidogo😄Siye wengine tunajua anachokifanya Mastermind JK,hatuna wasiwasi naye kabisa!
Mungu mjalie maisha marefu JAKAYA MRISHO KIKWETE!
Yule ni kama nyuzi za Pascal Mayala. Zinatafsiriwa in reverse way😄Unahitaji uthibitisho gani zaidi ya huu wa kumuweka Samia kuwa mgombea pekee wa CCM?
Anavyoboronga Samia mzee wa Msoga hakemei kwa sababu ni mnufaika katika uborongaji wa Samia.
Rais mstaafu asiyeweza kudhibiti uhuni ndani ya chama na serikali bali anaushiriki huo uhuni...
Ikiwa ulifuatilia mkutano 'uliompitisha Samia' kuwa mgombea pasipo kuwepo mshindani ndani ya chama kisha ukaunganisha na kauli ya huyu mhuni utapata uthibitisho kamili kuwa Samia ni rasrimali mtu ya mzee wa Msoga.
Bado unahitaji uthibitisho?
Kukiukwa kwa katiba ya CCM (mzee wa Msoga akiwa msimamizi) kulipitisha jina la Samia kama mgombea pekee bila kushindanishwa na wanachama wengine wenye nia..
Bado unahitaji uthibitisho?
Absolutely, huyu mzee ni tatizo...The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.
Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania
Umewakosea Sana Watanzania haiwezekani kabisa kila kitu unahusishwa wewe!!
Why unatumia nguvu nyingi kuhujumu umma kwa maslahi yako binafsi?
Wajukuu wetu warithi nini Kama kila kitu kinauzwa na wewe upo kimya unapata manufaa gani na maslahi gani?.
Rais Mustaafu pekee aliyebaki badala ukemee uhuni na wahujumu uchumi wa nchi wewe kutwa upo na Rais tu kwenye kila Jambo hata Kama anavuruga nchi?
Jk jifunze kwa mwenzako Uhuru Kenyatta pamoja na kwamba ni bosi ni tajiri kweli ila bado serikali ya ruto anaikosoa waziwazi bila kupindisha maneno
Jk unakwama wapi? Nyerere alikemea Sana utawala wa Mwinyi Mkapa why wewe kimya ??
Ulimkosoa Magufuli pale maslahi yako yalivyoguswa lakini sasahivi nchi inaanguka upo tu unashangaa mpaka watu waanze kugawana mbao?
Umeshindwa kusoma upepo kwamba wananchi wa nchi hii hawatamchagua kabisa Samia kwanini ujamshauri apumzike?
Jk wewe ni tatizo kwa Sasa pengine kuliko hata Samia mwenyewe!!
Na mtaanguka wote!!
Kama uelewa wako wewe ndo uko juu na juu yenyewe ndo hivi kuwasema watu tu basi jitahidi kujificha la sivyo mahali uliyotolewa itarudishwa.Uelewa wako wa mambo uko chini sana!