Pre GE2025 Tuseme bila unafiki: Kikwete ni tatizo kwa sasa nchini kuliko wakati wowote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani wewe ukikemea haitoshi?
 

good, hasa hiyo sentensi ya mwisho, a prophetic saying
 
Nchi hii ina watu wajinga sana. Yaani tuna taka mapinduzi kwa kusemewa na watu wengine? Huu ni ujinga mkubwa sana, masikini ndio wa kukomaa kujikwamua.
JK alishakuwa kiongozi ana jua ndani nje mfumo wa nchi hii, na kipindi cha Magufuli aliongea akaambiwa wastaafu wanawashwa na mengine yaliyo tokea hatujui.
Kwahiyo labda na yeye anakaa kimya kujilinda yeye na mali zake.

Ukweli ni kwamba masikini ndio wa kukomaa maana hana cha kupoteza.
 
Mkapa alikuwa genius jamaa nilimuona siku moja anasoma hotuba kashika kwa karatasi pale uhuru anakwambia huu ndo ukweli na uwazi
Ukiondoa interest na chuki, vingozi wote nchi hii wana madudu mengi sana. Kosa la sisi wa Tanzania huwa tuna interest zetu kumuongela mtu na sio ukweli.
Je alipo kuwa ana sema ukweli na uwazi, ndicho alicho kuwa ana tenda?
 
Kikwete ni kama mchwa, mchwa akiwa anakula mlango wa mbao utakuja kushtuka ni too late,
huyu mtu asipothibitiwa ni janga.
 
Ukiondoa interest na chuki, vingozi wote nchi hii wana madudu mengi sana. Kosa la sisi wa Tanzania huwa tuna interest zetu kumuongela mtu na sio ukweli.
Je alipo kuwa ana sema ukweli na uwazi, ndicho alicho kuwa ana tenda?
Inategemea alikuwa kiongozi na ukiwa kiongozi huwez kumfurahisha kila mtu lazima wengine wataneemeka na wengine watakonda kwan bei za bidhaa na thaman ya dola nchini vilikuwaje wakati ule ? Bia ilikuwa 800 soda 200 sukar mia tano hiyo ni 2002
 

Mmemuacha Magufuli, sasa mnahamia kwa Kikwete.
 
For sure he is a big crisis to this nation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…