Pre GE2025 Tuseme bila unafiki: Kikwete ni tatizo kwa sasa nchini kuliko wakati wowote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
labda kuna sababu kwa nini kabakia peke yake wakati wengine wote walisha “twaliwa”, kumbuka walishasema “wazuri” hawafi, they even play God …
 
The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.

Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania

Umewakosea Sana Watanzania haiwezekani kabisa kila kitu unahusishwa wewe!!

Why unatumia nguvu nyingi kuhujumu umma kwa maslahi yako binafsi?

Wajukuu wetu warithi nini Kama kila kitu kinauzwa na wewe upo kimya unapata manufaa gani na maslahi gani?.

Rais Mustaafu pekee aliyebaki badala ukemee uhuni na wahujumu uchumi wa nchi wewe kutwa upo na Rais tu kwenye kila Jambo hata Kama anavuruga nchi?

Jk jifunze kwa mwenzako Uhuru Kenyatta pamoja na kwamba ni bosi ni tajiri kweli ila bado serikali ya ruto anaikosoa waziwazi bila kupindisha maneno

Jk unakwama wapi? Nyerere alikemea Sana utawala wa Mwinyi Mkapa why wewe kimya ??

Ulimkosoa Magufuli pale maslahi yako yalivyoguswa lakini sasahivi nchi inaanguka upo tu unashangaa mpaka watu waanze kugawana mbao?

Umeshindwa kusoma upepo kwamba wananchi wa nchi hii hawatamchagua kabisa Samia kwanini ujamshauri apumzike?

Jk wewe ni tatizo kwa Sasa pengine kuliko hata Samia mwenyewe!!

Na mtaanguka wote!!
Ukiona Rais wangu Mpendwa African Genius Paul Kagame wa Rwanda anamdharau Mtu jua kwa 100% huyo Mtu hana Akili. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.

Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania

Umewakosea Sana Watanzania haiwezekani kabisa kila kitu unahusishwa wewe!!

Why unatumia nguvu nyingi kuhujumu umma kwa maslahi yako binafsi?

Wajukuu wetu warithi nini Kama kila kitu kinauzwa na wewe upo kimya unapata manufaa gani na maslahi gani?.

Rais Mustaafu pekee aliyebaki badala ukemee uhuni na wahujumu uchumi wa nchi wewe kutwa upo na Rais tu kwenye kila Jambo hata Kama anavuruga nchi?

Jk jifunze kwa mwenzako Uhuru Kenyatta pamoja na kwamba ni bosi ni tajiri kweli ila bado serikali ya ruto anaikosoa waziwazi bila kupindisha maneno

Jk unakwama wapi? Nyerere alikemea Sana utawala wa Mwinyi Mkapa why wewe kimya ??

Ulimkosoa Magufuli pale maslahi yako yalivyoguswa lakini sasahivi nchi inaanguka upo tu unashangaa mpaka watu waanze kugawana mbao?

Umeshindwa kusoma upepo kwamba wananchi wa nchi hii hawatamchagua kabisa Samia kwanini ujamshauri apumzike?

Jk wewe ni tatizo kwa Sasa pengine kuliko hata Samia mwenyewe!!

Na mtaanguka wote!!
Kipindi nyerere anawakataa wasishike wadhifa wa uraisi watu walikuwa hawajamuelewa ila sasaivi wataelewa nyerere alikuwa anamaanisha nini
 
1. Rais mwenye machungu anashiriki kwenye wizi wa pesa BOT.
Mkapa mwenyewe amekiri na ameomba msamaha kwenye kitabu chake kwa kushiriki kuiba pesa za EPA

2. Rais mwenye machungu anapitisha kuuzwa kwa nyumba za serikali oysterbay kwa bei ya corolla.

3. Rais mwenye machungu ameuza mashirika ya uma na kujiuzia mgodi wa kiwira
4. Alipitisha kuuzwa kwa bank ya NBC kwa bei ya kutupwa licha ya kuwa na mali (assets) kama vile majengo nchi nzima kila wilaya mpaka Mwalimu Nyerere anafariki hakuwahi kumuelewa juu ya uamuzi huo maana ilimchukua miaka kadhaa kuijenga ila Mkapa na watu wake waliipiga bei chap (ufisadi)

5. Ubinafsishaji ilikuwa utapeli mwingine wa wajanja kuuziana mali za serikali kwa bei za kutupwa tena kama bure ikiwemo huo mgodi wa Kiwira
 
The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.

Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania

Umewakosea Sana Watanzania haiwezekani kabisa kila kitu unahusishwa wewe!!

Why unatumia nguvu nyingi kuhujumu umma kwa maslahi yako binafsi?

Wajukuu wetu warithi nini Kama kila kitu kinauzwa na wewe upo kimya unapata manufaa gani na maslahi gani?.

Rais Mustaafu pekee aliyebaki badala ukemee uhuni na wahujumu uchumi wa nchi wewe kutwa upo na Rais tu kwenye kila Jambo hata Kama anavuruga nchi?

Jk jifunze kwa mwenzako Uhuru Kenyatta pamoja na kwamba ni bosi ni tajiri kweli ila bado serikali ya ruto anaikosoa waziwazi bila kupindisha maneno

Jk unakwama wapi? Nyerere alikemea Sana utawala wa Mwinyi Mkapa why wewe kimya ??

Ulimkosoa Magufuli pale maslahi yako yalivyoguswa lakini sasahivi nchi inaanguka upo tu unashangaa mpaka watu waanze kugawana mbao?

Umeshindwa kusoma upepo kwamba wananchi wa nchi hii hawatamchagua kabisa Samia kwanini ujamshauri apumzike?

Jk wewe ni tatizo kwa Sasa pengine kuliko hata Samia mwenyewe!!

Na mtaanguka wote!!
Nipo na kikwete hapa tumesoma ulichoandika tumecheka tu!
 
Alisikika akisema wachawi wameshakufa
 
MUACHENI MZEE APUMZIKE AISEE! NYIE NYIE MTARUDI TENA HAPA NA KUMSIFIA JK 😔
 
Kwani JK ndio YEYE wa Pascal Mayalla
Uzuri kwenye Nchi hii hakuna mtu anafahamu siasa, fitina na majungu kama Kikwete. Kama aliwai kumtosa swaiba wa ukweli Lowsssa itakuwa Samia. Twende mdogo mdogo. Ata yeye anafahamu baada yake hakuna msitahafu atasema Asikilizewe kama yeye. Tulienia atawaacha sehemu nzuri mnayo itaka nyinyi wala msiwe na shaka. Kikwete ni mtu ambaye anaweza kuona Ccm hakuna kada aliyepikwa akaiva akahamua nchi ichukuliwe na wapinzani. Binafsi bado namuamini Kikwete.
 
The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.

Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania

Umewakosea Sana Watanzania haiwezekani kabisa kila kitu unahusishwa wewe!!

Why unatumia nguvu nyingi kuhujumu umma kwa maslahi yako binafsi?

Wajukuu wetu warithi nini Kama kila kitu kinauzwa na wewe upo kimya unapata manufaa gani na maslahi gani?.

Rais Mustaafu pekee aliyebaki badala ukemee uhuni na wahujumu uchumi wa nchi wewe kutwa upo na Rais tu kwenye kila Jambo hata Kama anavuruga nchi?

Jk jifunze kwa mwenzako Uhuru Kenyatta pamoja na kwamba ni bosi ni tajiri kweli ila bado serikali ya ruto anaikosoa waziwazi bila kupindisha maneno

Jk unakwama wapi? Nyerere alikemea Sana utawala wa Mwinyi Mkapa why wewe kimya ??

Ulimkosoa Magufuli pale maslahi yako yalivyoguswa lakini sasahivi nchi inaanguka upo tu unashangaa mpaka watu waanze kugawana mbao?

Umeshindwa kusoma upepo kwamba wananchi wa nchi hii hawatamchagua kabisa Samia kwanini ujamshauri apumzike?

Jk wewe ni tatizo kwa Sasa pengine kuliko hata Samia mwenyewe!!

Na mtaanguka wote!!
Kikwete ni mstaafu, hivyo ni mshauri zaidi na ushauri waweza kukubaliwa au kukataliwa.
Kwa kuwa ni mwanadiplomasia, ushauri wake ukikataliwa anakubaliana kutokubaliana kwa ushirikiano mkubwa.
Hata hivyo, Rais hushauriwa na wengi na halazimiki kufuata ushauri wowote.
Kwa hiyo tusimlaumu mstaafu wala aliyepo, bali tujilaumu wenyewe wananchi.
 
Ila we jamaa unaona mbali
Kaka atakaye mtukana Kikwete muache kama alivyo ila Nchi hii hakuna master mind kama mwamba. 1995 alimshinda Mkapa kwenye kura za maoni ila akayenyekekea kwa Nyerere kwamba Muda wako bado. 2015 Mkapa alimwambi tulia mm ndo kaka yako Magufuli atakuwa rais akatulia. Wameondoka wote wakubwa amebaki yeye hv unafkl yeye hapiti kwenye mitandao nakufahamu nn watu wanaitaji? Kuna kipindi aliwai sema kuliko kumchagua Lissu kuwa Mbunge bora Dr. Slaa awe rais. He does know who Tundu Antipass Mwugai Lissu he is. Kiufupi kikwete hawezi kabisa kuzamisha jahazi trust me. The man is in real mission.
 
Uwezi fahamu huyo mwamba anacheza movie gani we kaa kwa kutulia yanayokuja yatakushangaza.
Naungana nawe aisee, huyu mzee shabaha zake ni za mbali mno!
Moja kati ya watu wa kukaa nae kwa tahadhari sana ni huyu mzee, anacheka na tabasamu sana lakini itoshe kusema anapaswa kuogopewa.
 
Kikwete ni mstaafu, hivyo ni mshauri zaidi na ushauri waweza kukubaliwa au kukataliwa.
Kwa kuwa ni mwanadiplomasia, ushauri wake ukikataliwa anakubaliana kutokubaliana kwa ushirikiano mkubwa.
Hata hivyo, Rais hushauriwa na wengi na halazimiki kufuata ushauri wowote.
Kwa hiyo tusimlaumu mstaafu wala aliyepo, bali tujilaumu wenyewe wananchi.
Kikwete wanamchukia bule ata wangekuwa wao wangefanya but trust me ni muda gani uliwai kutenga wakati ufatilie bunge kama kipindi cha kikwete akiwa na Samweli sitta na Mama Anna Semamba Makinda? Ukiniuliza mm katibu wa bunge wa mwisho kumjuwa kwa kija ni Thamas Kashirila. Toka hapo simjui waziri wara mkuu wa mkoa wara katibu wa bunge. Ila mwamba aliweza kuvumilia kila kitu. Ajira mpya walimu na manesi yeye ni umu tu. Wanajeshi na polisi yeye ni umu tu. Mikopo vyuo vikuu yeye ni umu tu. Wanasiasa kuandamana yeye ni umu tu. Acheni mzee ale pension yake he deserve it.
 
Watanzania tuache kutiatia huruma, hakuna siku tutaonewa huruma bila sisi wenyewe kuamua kujinasua kwenye minyororo ya wahuni, tuache kuwa kama waCongo.

Miongoni mwa watanzania 60mil tunashindwa kusimama na kudai nini tunataka kwa manufaa ya umma, ni nguvu ya umma tu ndio inaweza kuwatoa watanzania kifungoni sio vinginevyo maana hao tunaowataka watusaidie tupate Demokrasia ndio hao wanakula na hawa hawa tulionao huku.
 
Back
Top Bottom