Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwenye hiyo mission anaonekana yupo smart Sana.Maajabu ya Firigisi ni kwamba ina nyama nje ngozi ndani🤣🤣🤣🤣Kaka atakaye mtukana Kikwete muache kama alivyo ila Nchi hii hakuna master mind kama mwamba. 1995 alimshinda Mkapa kwenye kura za maoni ila akayenyekekea kwa Nyerere kwamba Muda wako bado. 2015 Mkapa alimwambi tulia mm ndo kaka yako Magufuli atakuwa rais akatulia. Wameondoka wote wakubwa amebaki yeye hv unafkl yeye hapiti kwenye mitandao nakufahamu nn watu wanaitaji? Kuna kipindi aliwai sema kuliko kumchagua Lissu kuwa Mbunge bora Dr. Slaa awe rais. He does know who Tundu Antipass Mwugai Lissu he is. Kiufupi kikwete hawezi kabisa kuzamisha jahazi trust me. The man is in real mission.
🙋♂️✍️💭🎯👌👍👏👊🤝🙏💐🎁🛡️Tatizo siyo Kikwete, ni watz wenyewe
👏👏👏1. Rais mwenye machungu anashiriki kwenye wizi wa pesa BOT.
Mkapa mwenyewe amekiri na ameomba msamaha kwenye kitabu chake kwa kushiriki kuiba pesa za EPA
2. Rais mwenye machungu anapitisha kuuzwa kwa nyumba za serikali oysterbay kwa bei ya corolla.
3. Rais mwenye machungu ameuza mashirika ya uma na kujiuzia mgodi wa kiwira
Mkuu punguza chuki binafsi, Kikwete sio Rais huu mwaka 10.The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.
Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania
Umewakosea Sana Watanzania haiwezekani kabisa kila kitu unahusishwa wewe!!
Why unatumia nguvu nyingi kuhujumu umma kwa maslahi yako binafsi?
Wajukuu wetu warithi nini Kama kila kitu kinauzwa na wewe upo kimya unapata manufaa gani na maslahi gani?.
Rais Mustaafu pekee aliyebaki badala ukemee uhuni na wahujumu uchumi wa nchi wewe kutwa upo na Rais tu kwenye kila Jambo hata Kama anavuruga nchi?
Jk jifunze kwa mwenzako Uhuru Kenyatta pamoja na kwamba ni bosi ni tajiri kweli ila bado serikali ya ruto anaikosoa waziwazi bila kupindisha maneno
Jk unakwama wapi? Nyerere alikemea Sana utawala wa Mwinyi Mkapa why wewe kimya ??
Ulimkosoa Magufuli pale maslahi yako yalivyoguswa lakini sasahivi nchi inaanguka upo tu unashangaa mpaka watu waanze kugawana mbao?
Umeshindwa kusoma upepo kwamba wananchi wa nchi hii hawatamchagua kabisa Samia kwanini ujamshauri apumzike?
Jk wewe ni tatizo kwa Sasa pengine kuliko hata Samia mwenyewe!!
Na mtaanguka wote!!
Mkuu hilo ni du'a la kuku...... Utasubiri sana. Usimsingizie JK, Mzee wa watu.Mwisho wa huyo Mzee utakuwa mbaya Sana huyu Mzee ana dhambi nyingi Sana na amebeba machozi ya watanzania juu yake.
Rasilimali zote za nchi hii anauza kilasiku
👍👏👊Kikwete atafika 'padag' akiwa amechoka sana kwakweli. Kuna watu wanamchukia so mchezo....hata wakinyimwa "mixx by yas" na wake zao basi humsingizia kikwete. Kawafanya nini haswa huyu Mzee wa watu mbona mnamsakama sana?!!!!
Mkuu thibitisha hili, usilete dhana na hisia zako hasi hapa, kupotoshwa watu.Bibie anatii kila asemacho mkwere hata kama ni cha kipuuzi..
Anachokifanya bibie ni maelekezo ya mkwere kwa manufaa binafsi ya mkwere na watu wake, serikali imejaa viongozi mafisadi, mkwere na bibi hawawezi kuondoa ufisadi serikalini kwa sababu nao ni wale wale.
Rais fisadi hawezi kudhibiti mafisadi
Mkuu tunazingatia neno 'kishindo' kwenye hoja yako. 🤓🤓🤓Embu ondoa msongo wako wa mawazo hapa. Rais Samia atapita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima. Pambana kivyako na maisha yako huko na siyo kupiga umbeya wako hapa wakati wenzako wanachapa kazi
🙋♂️💭✍️🎯👌👍👏👊🤝🙏💐🎁🎖️🛡️Nchi hii ina watu wajinga sana. Yaani tuna taka mapinduzi kwa kusemewa na watu wengine? Huu ni ujinga mkubwa sana, masikini ndio wa kukomaa kujikwamua.
JK alishakuwa kiongozi ana jua ndani nje mfumo wa nchi hii, na kipindi cha Magufuli aliongea akaambiwa wastaafu wanawashwa na mengine yaliyo tokea hatujui.
Kwahiyo labda na yeye anakaa kimya kujilinda yeye na mali zake.
Ukweli ni kwamba masikini ndio wa kukomaa maana hana cha kupoteza.
Haya tutajie majina ya hivyo vitaru kimoja baada ya kingine.Huyo mzee ana tamaa balaa kajimilikisha vitalu kibao vya madini, familia yake hairidhiki tu juzi mkewe kapendekeza wake wa marais wastaafu walipwe 60% ya mshahara wa rais huku yeye akiwa mbunge. Wengine wanamwamini Mungu yupi mbona hata hofu hawana?
Mkuu sio kweli, wewe una chuki naye bila sababu za msingi, unafuata mkumbo tu, bendera fuata upepo!!!Kikwete ni kama mchwa, mchwa akiwa anakula mlango wa mbao utakuja kushtuka ni too late,
huyu mtu asipothibitiwa ni janga.
Una akili sana,umesema ukweli na kuuliza swali zuriUkiondoa interest na chuki, vingozi wote nchi hii wana madudu mengi sana. Kosa la sisi wa Tanzania huwa tuna interest zetu kumuongela mtu na sio ukweli.
Je alipo kuwa ana sema ukweli na uwazi, ndicho alicho kuwa ana tenda?
🙋♂️✍️🤝💐🎖️🛡️Huu ni ukweli. Bila kikwete hata huyo magufuli hasingepata urais.
kikwete kaifanyia mengi mazuri sana Nchi hii
For a fact you are very dishonest with your reply here, sir.For sure he is a big crisis to this nation
Mkuu acha kujipa matumaini ya kufikirika. Usimshirikishe Mungu kwenye mawazo yako potofu.MUNGU ATAMSHUGHULIKIA PUNDE
Mkuu nakuunga mkono ila punguza matusi ya nguoni.Kama hamtaki jiwe aongelewe mbona nyinyi kutwa kumuongelea na kumsakama mzee wa watu utadhani alisha watomba nyinyi na wake zenu?
Kikwete ni fisadi na aliye shindwa kudhiti mafisadi ,ebu nitajie ni rais gani ukimtoa Nyerere ambaye hakuwa fisadi na alidhibiti mafisadi.
Hivi kuna rais aliye anzisha mambo ya hovyo ndani ya nchii hii kuliko huyo mungu wenu jiwe?
Jiwe si ndo muasisi wa uchawa ndani ya nchi hii?
Jiwe si ndo muasisi wa siasa za uhasama za kutekana na kuuwana?
Jiwe si ndo muasisi wa kutumia pesa za uma bila idhini ya bunge?
Si ndo muasisi wa kutumia mabilion ya pesa za walipa kodi kununua wapinzani?
Nyinyi wafuasi wa jiwe mmejaa mavi kichwani na ni kiwakilishi kizuri cha kiasi gani watz ni wapumbavu.
🤔 🤔 🤔Kwa nini asiuwawe?
Kweli chawa unachapa kazi.Embu ondoa msongo wako wa mawazo hapa. Rais Samia atapita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima. Pambana kivyako na maisha yako huko na siyo kupiga umbeya wako hapa wakati wenzako wanachapa kazi