M.Rutabo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 1,031
- 2,647
Sio kuogopewa tu waulize CCM wenyewe nan amebaki kwenye chama aliyeandaa katiba ya ccm ya sasa baada ya vyama viwili ASP na TANU kuungana kuizaa CCM. Kama sio Kikwete au wanasahau akisema chama cha mapinduzi anamanisha. Sio kama akina professa mkumbo kitira. Kikwete ni CCM na CCM ni Kikwete kwahyo hawezi kubali kabisa Chama kimfie mikononi wakati Taifa linaitaji busara ziwe mikononi mwake.Naungana nawe aisee, huyu mzee shabaha zake ni za mbali mno!
Moja kati ya watu wa kukaa nae kwa tahadhari sana ni huyu mzee, anacheka na tabasamu sana lakini itoshe kusema anapaswa kuogopewa.