Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
🤣 🤣 🤣Nipo na kikwete hapa tumesoma ulichoandika tumecheka tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣Nipo na kikwete hapa tumesoma ulichoandika tumecheka tu!
Labda ipo salama kwa chawa pekee kwa kuwa wanapata bado chakula.Tanzania ipo salama.
Ubaya wa ukuaji wa deni la taifa haupimwi kwa ukubwa bali pesa zilizokopwa zimetumikaje,issue za uchumi ni complicated kidogoDeni la.taifa ali tuachia ngapi?, na hao wengine ngapi!
🙋♂️💭✍️ 🎯👍👌👏👊🤝🙏 💐🎁🗼🎖️🛡️Kikwete ni mstaafu, hivyo ni mshauri zaidi na ushauri waweza kukubaliwa au kukataliwa.
Kwa kuwa ni mwanadiplomasia, ushauri wake ukikataliwa anakubaliana kutokubaliana kwa ushirikiano mkubwa.
Hata hivyo, Rais hushauriwa na wengi na halazimiki kufuata ushauri wowote.
Kwa hiyo tusimlaumu mstaafu wala aliyepo, bali tujilaumu wenyewe wananchi.
Mkuu umetoa jibu kuntu!! ✍️👍🙏Kikwete ni mstaafu, hivyo ni mshauri zaidi na ushauri waweza kukubaliwa au kukataliwa.
Kwa kuwa ni mwanadiplomasia, ushauri wake ukikataliwa anakubaliana kutokubaliana kwa ushirikiano mkubwa.
Hata hivyo, Rais hushauriwa na wengi na halazimiki kufuata ushauri wowote.
Kwa hiyo tusimlaumu mstaafu wala aliyepo, bali tujilaumu wenyewe wananchi.
Mkuu sio kweli, tofautisha sukuma gang na kanda ya ziwa. Usichanganye mambo!!!Na kauli hii ndiyo imefanya huku Kanda ya Ziwa tuzidi kumchukia Samia.
Kabendera n muhuni km wahuni hao haoUnataka aendelee kufanya kazi ya Urais?
Hujui kuwa Jiwe alitaka kumtengenezea kesi feki ya kutaka kupindua serikali ili ammalize?, Nenda kasome kitabu cha Kabendera utaikuta hiyo!
Mkuu na kuheshimiana 🙋♂️Naungana nawe aisee, huyu mzee shabaha zake ni za mbali mno!
Moja kati ya watu wa kukaa nae kwa tahadhari sana ni huyu mzee, anacheka na tabasamu sana lakini itoshe kusema anapaswa kuogopewa.
🤣 🤣 🤣Waaapiii? Nyerere huyo ndo wa hovyo mropokaji tu.
Mkuu unanikosha kwa kujibu hoja kwa ushahidi, maua yako yapokee 💐💐💐ungali hai!!!Ebu tutoleeni upumbavu hapa, ni rais gani aliye dhibiti mafisadi ndani ya nchii?
Huyo mungu wenu jiwe si ndo alimfukuza CAG baada ya kufichua wizi wa tirion 1.5 serikalini ,na unaweza kunitajia fisadi yeyote aliye fungwa jera na kufirisiwa kipindi cha jiwe?
Kipindi cha jiwe alipo kuwa anakoroga mambo kikwete alipo kuwa anajaribu kukosoa nyinyi machawa wa jiwe si mlikuwa mnamshambulia mitandaoni na kumuambia akae kimia maana muda wake umeisha sasa mnataka aongee nini tena?
Haya ndio maeazo ya misukule ya Lissu, Kama Taifa tuna shida sana.Wengine tumesema kabla ya mada ya JAL22.
Huyo babu hana shida ya hela ni tajiri mno.
Shida ya JK ni power addiction, hayuko tayari kuishi nje ya political influence.
Shida yake ya msingi ni ‘life event’ (psychology), anachojua yeye ni kuishi kwenye maisha ya power.
Hata Dodoma (achana na kilichotokea) either unakubaliana nacho au la. Lakini JK hana mamlaka ya kupitisha maazimio ya chama,
Kibongo bongo ni ngumu kuelewa ila JK ni mental case, sio lazima uwe muokota makopo. Lakini anaitaji kupewa psychology intervention ya kuzoea kuona wengine wanafanya maamuzi.
Jamaa ana psychological problems, watoto wake awahitaji msaada ni proffesional na wako vizuri. Labda Ridhwani na hata yeye keshaiva kama mwanasiasa anaweza jitegemea.
Better still Ridhiwani ana vitega uchumi vya property kwa hela yake ya ubunge aliyowekeza bila ya msaada wa baba yake ata hakikosa ubunge ni billionaire.
Unajiuliza huyu mzee anataka nini tena, kulinda ufisadi; watoto wake wote labda yule wa mwisho. Hawana shida na hela yake. Wenyewe wana income za kutosha.
Yaani JK kalea watoto wake, pamoja na utajiri wake. Watoto wake wote ni independent hawaitaji hela yake, labda yule wa mwisho.
Kwa Kweli hatuna budi kumlaumu Samia kwa Ufisadi anaouongoza serikalini!! Hata hivyo huyo mama hamna kitu kwani “ Rais” mwenyewe wa nchi ni Kikwete! Yule mama ni mtupu hana kitu maamuzi yote ya serikali yanatoka kwa huyo mzee wa Msoga!!The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.
Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania
Umewakosea Sana Watanzania haiwezekani kabisa kila kitu unahusishwa wewe!!
Why unatumia nguvu nyingi kuhujumu umma kwa maslahi yako binafsi?
Wajukuu wetu warithi nini Kama kila kitu kinauzwa na wewe upo kimya unapata manufaa gani na maslahi gani?.
Rais Mustaafu pekee aliyebaki badala ukemee uhuni na wahujumu uchumi wa nchi wewe kutwa upo na Rais tu kwenye kila Jambo hata Kama anavuruga nchi?
Jk jifunze kwa mwenzako Uhuru Kenyatta pamoja na kwamba ni bosi ni tajiri kweli ila bado serikali ya ruto anaikosoa waziwazi bila kupindisha maneno
Jk unakwama wapi? Nyerere alikemea Sana utawala wa Mwinyi Mkapa why wewe kimya ??
Ulimkosoa Magufuli pale maslahi yako yalivyoguswa lakini sasahivi nchi inaanguka upo tu unashangaa mpaka watu waanze kugawana mbao?
Umeshindwa kusoma upepo kwamba wananchi wa nchi hii hawatamchagua kabisa Samia kwanini ujamshauri apumzike?
Jk wewe ni tatizo kwa Sasa pengine kuliko hata Samia mwenyewe!!
Na mtaanguka wote!!
Mkuu JK na familia yake ni watanzania na wanahaki kama wengine kumiliki mali.Huyo mzee ana tamaa balaa kajimilikisha vitalu kibao vya madini, familia yake hairidhiki tu juzi mkewe kapendekeza wake wa marais wastaafu walipwe 60% ya mshahara wa rais huku yeye akiwa mbunge. Wengine wanamwamini Mungu yupi mbona hata hofu hawana?
Mkuu ebu fafanua namna gani ujinga unamsumbua???Ujinga unakusumbua
Ebu tutajie ni mafisadi wapi wanao lindwa na kikwete na anawalinda yeye kama nani na kwa mamlaka yapi?Wengine tumesema kabla ya mada ya JAL22.
Huyo babu hana shida ya hela ni tajiri mno.
Shida ya JK ni power addiction, hayuko tayari kuishi nje ya political influence.
Shida yake ya msingi ni ‘life event’ (psychology), anachojua yeye ni kuishi kwenye maisha ya power.
Hata Dodoma (achana na kilichotokea) either unakubaliana nacho au la. Lakini JK hana mamlaka ya kupitisha maazimio ya chama,
Kibongo bongo ni ngumu kuelewa ila JK ni mental case, sio lazima uwe muokota makopo. Lakini anaitaji kupewa psychology intervention ya kuzoea kuona wengine wanafanya maamuzi.
Jamaa ana psychological problems, watoto wake awahitaji msaada ni proffesional na wako vizuri. Labda Ridhwani na hata yeye keshaiva kama mwanasiasa anaweza jitegemea.
Better still Ridhiwani ana vitega uchumi vya property kwa hela yake ya ubunge aliyowekeza bila ya msaada wa baba yake ata hakikosa ubunge ni billionaire.
Unajiuliza huyu mzee anataka nini tena, kulinda ufisadi; watoto wake wote labda yule wa mwisho. Hawana shida na hela yake. Wenyewe wana income za kutosha.
Yaani JK kalea watoto wake, pamoja na utajiri wake. Watoto wake wote ni independent hawaitaji hela yake, labda yule wa mwisho.
JK anawalemaza hawa watoto wa rafiki zake hakina Nape, sijui January. Lakini wakwake mwenyewe amewalea wajitegemee wote yeye anatoa support tu kufikia malengo.
Mkuu usisahau pia Kuwa Rais fisadi hudhibiti mafisadi ili abaki yeye mwenyewe kwenye kufisidi nchi!!! Zingatia 1.5T ya 2017.Jiwe kaingiaje hapa? Acha kubwabwaja ndugu kwa kumtetea kiongozi aletaye shida kwa taifa....
Kamata hii..
"rais fisadi hawezi kudhibiti mafisadi."
Unatakiwa ukae nje ya siasa kwenye uongozi mpya.Haya ndio maeazo ya misukule ya Lissu, Kama Taifa tuna shida sana.
80% ya watumishi wa leo tena watoto wa maskini wameajiriwa kipindi cha Kikwete, watoto wengi maskini wamepata fursa ya kusoma kipindi cha kikwete.
Kikwete ni stateman, haiwezi kujifungia ndani, hata Mwl. Nyerere hakujifungia ndani na watu walikuwa wanasema hivi hivi kipindi cha Mwinyi kuwa inchi inaendeshwa na Mwl.
Ni mtu msukule pekee ambaye anaweza kujaribu ku undermine nafasi ya Rais.
The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.
Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania
Umewakosea Sana Watanzania haiwezekani kabisa kila kitu unahusishwa wewe!!
Why unatumia nguvu nyingi kuhujumu umma kwa maslahi yako binafsi?
Wajukuu wetu warithi nini Kama kila kitu kinauzwa na wewe upo kimya unapata manufaa gani na maslahi gani?.
Rais Mustaafu pekee aliyebaki badala ukemee uhuni na wahujumu uchumi wa nchi wewe kutwa upo na Rais tu kwenye kila Jambo hata Kama anavuruga nchi?
Jk jifunze kwa mwenzako Uhuru Kenyatta pamoja na kwamba ni bosi ni tajiri kweli ila bado serikali ya ruto anaikosoa waziwazi bila kupindisha maneno
Jk unakwama wapi? Nyerere alikemea Sana utawala wa Mwinyi Mkapa why wewe kimya ??
Ulimkosoa Magufuli pale maslahi yako yalivyoguswa lakini sasahivi nchi inaanguka upo tu unashangaa mpaka watu waanze kugawana mbao?
Umeshindwa kusoma upepo kwamba wananchi wa nchi hii hawatamchagua kabisa Samia kwanini ujamshauri apumzike?
Jk wewe ni tatizo kwa Sasa pengine kuliko hata Samia mwenyewe!!
Na mtaanguka wote!!
Haya machawa ya jiwe yamesha tuchosha na kumsakama mzee wa watu mara fisadi mara ana tamaa mara muuza madawa ya kulevya wapuuzi kabisa.Mkuu nakuunga mkono ili punguza matusi ya nguo.
Najua inakera ila punguza hisia na hasira, simamia hoja yako.
Usichafue hoja yako Mkuu.