misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Kweli anapumzika?MUACHENI MZEE APUMZIKE AISEE! NYIE NYIE MTARUDI TENA HAPA NA KUMSIFIA JK 😔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli anapumzika?MUACHENI MZEE APUMZIKE AISEE! NYIE NYIE MTARUDI TENA HAPA NA KUMSIFIA JK 😔
Kwa vyovyote inavyokuwa, maslahi yake ndio yanatangulia na si yale ya taifa!Uwezi fahamu huyo mwamba anacheza movie gani we kaa kwa kutulia yanayokuja yatakushangaza.
Mkuu ni Rais yupi kwenye awamu yake ambaye hakurudisha viongozi kazini ambao walifukuzwa kazi na rais aliyepita.Unataka ushahidi gani zaidi ya kuona chawa wa Kikwete waliofukuzwa na Magufuli wote kurudishiwa kazini Baada ya Samia kushika usukani wa nchi!
Usiniulize majina yao kwani wazaledo wa nchi hii wanawajua!
Sukuma gang wana nguvu sana katika hiki chama cha mashetani!! Magufuli kokote aliko Anamuongoza Samia kwa kupitia genge hili!Kwa hiyo samia baada ya kuwarudisha machawa ya Magufuri akina Makonda Kabudi,Charamila jiwe ndo ana muongoza mama kutoka kaburini?
Kwa hiyo kujiunga jf siku nyingi ndo kipimo cha kujua maarifa ya mtu?Wewe usiniletee mambo ya kipumbavu umejiunga Jamiiforums juzi tu 2023 ..unajifanya mjuaji unaijua issue ya Rostam kununua gazeti la Rai mwaka 2006 na waandishi wengi wakasusa kisa kupangiwa cha kuandika na mmilki ,wakaenda kuanzisha gazeti la Raia Mwema ?
Uelewa wako wa mambo uko chini sana!Kikwete atafika 'padag' akiwa amechoka sana kwakweli. Kuna watu wanamchukia so mchezo....hata wakinyimwa "mixx by yas" na wake zao basi humsingizia kikwete. Kawafanya nini haswa huyu Mzee wa watu mbona mnamsakama sana?!!!!
🤣 🤣 🤣Sina shida ya kunyofolewa kucha.
Lakini nakuhakikishia hakuna mtoto wake anaefaidika na ufisadi anao ulinda kwa sababu za kipuuzi anazozijua mwenyewe.
Watoto wake wote wanajitegemea, nadhani uwepo wake (JK) kwenye siasa ndio uliofanya Ridhiwani aondolewe ardhi. Fairly Ridhiwani kwa hela zake mwenyewe za mshahara wa ubunge na kabla ya kuwa naibu waziri wa ardhi ni mwekezaji wa commercial property.
Nadhani kihere here cha baba yake ndio kilimfanya atolewe ardhi. JK watoto wake kawalea kujitegemea( anadekexa mitoto ya rafiki zake tu kutegemea siasa.
Kwa halipo hana sababu ya kuja hadharani isipokuwa kama mambo hayaendi sawa tu,Anaropoka kuwa wachawi wamekufa (Mkapa,Mwinyi,Magufuli,Lowasa,Membe.et) amabaki yeye,kweli anahitaji wataalamu wa psychology kumuweka sawa..
Mkapa! Nitajie aliyemrudisha.Mkuu ni Rais yupi kwenye awamu yake ambaye hakurudisha viongozi kazini ambao walifukuzwa kazi na rais aliyepita.
Nitajie kwanza!!
Sasa tushike lipi mara kikwete ndo ana muendesha mama mara sukuma gang ina nguvu ndo inamuongoza mama,sasa kuelewe lipi?Sukuma gang wana nguvu sana katika hiki chama cha mashetani!! Magufuli kokote aliko Anamuongoza Samia kwa kupitia genge hili!
👍👏👏🤝🙏Samia anamhitaji Kikwete kwa sasa kuliko wakati mwingine wowote ili aweze kubaki madarakani.
Kikwete master wa mbinu chafu.
🤣 🤣 🤣Haya mambo mnayo msingizia Kikwete mkumbuke ipo siku mtahitajika kuyatolea maelezo mbele ya Mungu wenu .
Huyu Mr. Smile file lake la hukumu kwa Mungu li tayari. Linasubiria aitwe tu kusomewa hukumu yake na kibaya ni kwamba makosa yake yapo wazi hatatakiwa kujitetea,hivyo ni moja kwa moja motoni. Maana kutubu kwake ni ngumu. Hawezi kurudisha kwa watanzania vyote alivyofisidi au hasara yoyote kwa taifa iliyotokana na kuhusika kwake.The man is everywhere but natoa aren't na tahathari hakuna marefu yasiyo na ncha.
Minyororo yako uliyoifunga inaelekea mwisho tubu na omba msamaa kwa Watanzania
Umewakosea Sana Watanzania haiwezekani kabisa kila kitu unahusishwa wewe!!
Why unatumia nguvu nyingi kuhujumu umma kwa maslahi yako binafsi?
Wajukuu wetu warithi nini Kama kila kitu kinauzwa na wewe upo kimya unapata manufaa gani na maslahi gani?.
Rais Mustaafu pekee aliyebaki badala ukemee uhuni na wahujumu uchumi wa nchi wewe kutwa upo na Rais tu kwenye kila Jambo hata Kama anavuruga nchi?
Jk jifunze kwa mwenzako Uhuru Kenyatta pamoja na kwamba ni bosi ni tajiri kweli ila bado serikali ya ruto anaikosoa waziwazi bila kupindisha maneno
Jk unakwama wapi? Nyerere alikemea Sana utawala wa Mwinyi Mkapa why wewe kimya ??
Ulimkosoa Magufuli pale maslahi yako yalivyoguswa lakini sasahivi nchi inaanguka upo tu unashangaa mpaka watu waanze kugawana mbao?
Umeshindwa kusoma upepo kwamba wananchi wa nchi hii hawatamchagua kabisa Samia kwanini ujamshauri apumzike?
Jk wewe ni tatizo kwa Sasa pengine kuliko hata Samia mwenyewe!!
Na mtaanguka wote!!
Tuna kuonesha kuwa Samia sio kiongozi thabiti, anapelekwa mara Huku mara Kule , yupo yupo tu na hiyo sio ishara nzuri kwa nchi!Sasa tushike lipi mara kikwete ndo ana muendesha mama mara sukuma gang ina nguvu ndo inamuongoza mama,sasa kuelewe lipi?
Nyinyi wafuasi wa Magufuri mna matatizo sana.
Hatumchukiii. Kikwete ndiye mtesi wa taifa hili.Kikwete atafika 'padag' akiwa amechoka sana kwakweli. Kuna watu wanamchukia so mchezo....hata wakinyimwa "mixx by yas" na wake zao basi humsingizia kikwete. Kawafanya nini haswa huyu Mzee wa watu mbona mnamsakama sana?!!!!
Mkuu ni sawa kabisa, ila ujue mamlaka ni jambo moja na Michezo ya siasa ni jambo lingine kabisa.Samia hamuitaji mtu yeyote kubaki madarakani nguvu yake ya urais aliyo nayo inamtosha kufanya chochote anacho jisikia na asiwepo mtu atakayebweka ndani nchi hii.
Nguvu ya kimamlaka aliyo nayo Samia kwa sasa anaweza kuitumia kumpoteza hata huyo Kikwete.
KivipiTanzania ipo salama.
Kama huyo Mungu yupo basi Kikwete ndio atatakiwa kutubu madhambi yake yakiwemo ya mauaji ya Mwandishi Mwangosi, Magufuli etc! Ukiacha Ufisadi aliofanya kwa nchi hii katika utumishi wake!🤣 🤣 🤣