Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Sina shida ya kunyofolewa kucha.Ebu tutajie ni mafisadi wapi wanao lindwa na kikwete na anawalinda yeye kama nani na kwa mamlaka yapi?
Na ni rais gani ukimuondoa Nyerere ambaye hakuwahi kuwalinda mafisadi ndani ya nchi hii?
Lakini nakuhakikishia hakuna mtoto wake anaefaidika na ufisadi anao ulinda kwa sababu za kipuuzi anazozijua mwenyewe.
Watoto wake wote wanajitegemea, nadhani uwepo wake (JK) kwenye siasa ndio uliofanya Ridhiwani aondolewe ardhi. Fairly Ridhiwani kwa hela zake mwenyewe za mshahara wa ubunge na kabla ya kuwa naibu waziri wa ardhi ni mwekezaji wa commercial property.
Nadhani kihere here cha baba yake ndio kilimfanya atolewe ardhi. JK watoto wake kawalea kujitegemea( anadekexa mitoto ya rafiki zake tu kutegemea siasa.