Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nice1.Nafanya Mapinduzi makubwa ya kilimo for export purpose.
2.Nakata Matumizi ya hovyo serikalini kwa asilimia 80.
3.Naunda baraza dogo la mawaziri,
4.Napunguza idadi ya wabunge ifikie angalau 100.
5.Zanzibar naifanya kuwa Mkoa siyo nchi.
6.Nitajenga nchi kwa kushirikiana na Wapinzani
HONGERA MNO MKUU1. Utawala bora kulenga zaidi watu kupata uongozi kwa sababu ya uwezo wao na pia usimamizi makini wa rasilimali za umma (hati chafu chafu za CAG kuzipunguza zaidi ya 70%), kufuta matumizi ya umma yasiyo na msingi
2. Ningefanya Internet kuwa ya gharama nafuu sana na kupatikana kwa urahisi popote mtu alipo nchini sababu kuna shughuli nyingi tu za kiuchumi zinachochewa na Internet
3. Ningefanya huduma ya umeme kuwa nafuu na ya uhakika sababu uzalishaji mwingi unategemea umeme
4. Ningeondoa vikwazo kwa huduma za malipo za online na kujiimarisha mimi tu kama serikali kucontrol money laundering, kwa mfano nchi kama hii kukosa PayPal au kushindwa kumonetize media kama tiktok ni ukiritimba usio na msingi
5. Ningeongeza kiwango cha wanaotuma hela nchini kutoka nje ya TZ na kupunguza vikwazo vya kijinga hela ya kutoka nje inapotaka kutolewa
6. Ningeweka nguvu ya ziada kwenye kilimo kuwa cha kisiasa na kutengeza opportunity za kuwafaidisha wakulima na wafanyabiashara kwa level zao
7. Ningepunguza kiwango cha kodi, kodi kuwa mara mbili au zaidi ya bidhaa unapoingiza ndani ya nchi ni ujinga wa hali ya juu na haufadishi wananchi zaidi zaidi watu wanakua masikini tu
8. Ningeruhusu uagizwaji wa kutoka nje wa sukari na cement
9. Ningekomesha utumiaji wa watu wa sekta ya burudani kwenye shughuli za kisiasa (kuna tofauti ya shughuli za kiserikali na kisiasa) timu za mpira, waigizaji, wanamuziki, comedians..... etc
10. Ningefuta KKK kuwa kigezo cha ubunge... bali ningeweka kigezo cha elimu na kigezo cha mali anazotakiwa kuwa nazo mgombea
Nakuhalikishia hautamaliza hata miaka 5 kama ukigusa katiba🤣🤣Miaka kumi ni miaka mingi na pia ni miaka michache kulingana na masuala utakayo ya zungumzia.
So far namba moja(1) nitaanza na KATIBA.
Ni mchakato ambao hautaenda kwa pupa. ndani ya hiyo miaka utakuwa umefanikiwa na mambo yamekaa sawa.
Hapa katiba itaweza tatua changamoto nyingi sana tofauti na awali.
Iyo ajenda na 6 ukija nayo kwenye kampeni nakuakikishia hautapata kura hata moja ya mwanamke. Hao watu tayari akili zishalemaa wanaona kupewa hela na kuongwa na mwanaume ni haki yao.1. Kuifanya Simba kuwa team ya netball;
2. Kuondoa boda boda kama chombo cha public transport;
3. kuboresha mfumo wa elimu kwa vitendo kuanzia shule ya vidudu mpaka chuo kikuu;
4. Kujenga viwanja vingi vya michezo tofauti tofauti kila kata ili watu wasifuge vitambi na kupiga punyeto kifalafala;
5 Nigejengea uwezo wadada na wamama kuacha kupiga mizinga
Subiri nifanikiwe kwanza, unataka nikupe nondo zangu ukanadi kama sera zako