Tuseme ndio umefanikiwa kuwa Rais wa Tz. Ni maswala yapi matano ungehakikisha ndani ya miaka 10 hayatakuwa tena kero kwa asilimia kubwa wananchi wako.

Umepita.
 
Uzi uishie hapa, wengine wakachangie damu wagonjwa 😹
 
Huu ni mtego.....nachukuliaje wakati Mimi sio?
 
Wewe kama mimi,nafuta cheo caha DC,RC,DED,RAS,DAS,NAIBU WAZIRI,MWENYEKITI WA HALMASHAURI.
Hela napeleka kwa wananchi na watumishi
 
nitaizika ccm wajukuu zetu wasije wakajua tuliongozwaga na lichama la mambuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…